Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Aneifanya hiyo biashara kwa bajaji moja na anaitegemea hiyohiyo kwa kuendesha maisha na huku kampa mtu amletee 20k per day anajiunguza mwenyewe.

Ila kwa experience yangu nimeona wengi wana mishe nyingine bajaji inakua extra, na bajaji sio moja.
Kuna mwamba ana bajaji 10+, zinampa pesa nzuri mno.

Nadhani mleta uzi jaribu kufanya tafiti, na hizo bajaji wengine huwapa mkataba kua baada ya kipindi fulani bajaji inakua ya huyo dereva, so tajiri anachukua pesa kwa muda fulani baada ya hapo kijana bajaji inakua yake. Hapo hata ikae 2 yrs chombo inakua vyedi maana kijana anaimaintain kama yake.

Hizi biashara ukiziangalia kichwakichwa kama ufanyavyo hamna utayoona ina faida, zote utaona watu wanacheza makida makida, kumbe pesa ipo ni dharau zako tu na miscalculation zako.
Hamna kitu hapo hii chai tu hii ni biashara kichaa
 
Wew
Wewe umekosa vijana bora ila biashara hiyo aina tatizo
Bahati ya vijana bora haiji kwa wote mkuu...wengine wape muda vizuri utawaona....nilikuwa napata kesi mpaka wake zao...maana nina mtindo wa kufatilia mpaka familia anayotoka ...all in all sio mbaya but changamoto ni nyingi
 
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Wengine wala sio washamba wakutoka vijijimi,wapo pia watumishi hapa mjini wanakopa mikopo kununua bajaj na kuwapa wahuni,

Na kuna mwingine anatoa milion themanini kununua kosta,halafu anasubiria hesabu ya laki au elfu themanini kwa siku,,
Daladala biashara kichaa ,huwa nawasikitikia sana
 
Wengine wala sio washamba wakutoka vijijimi,wapo pia watumishi hapa mjini wanakopa mikopo kununua bajaj na kuwapa wahuni,

Na kuna mwingine anatoa milion themanini kununua kosta,halafu anasubiria hesabu ya laki au elfu themanini kwa siku,,
Daladala biashara kichaa ,huwa nawasikitikia sana
Kwa 80 Mill unataka profit iwe sh ngapi kwa mwezi kwenda sawa na mtaji huo?
 
Sasa mkuu hao nimetolea mfano lakini mtaani wapo mataita wana umiliki wa mabasi na hawana hizo position kubwa kiserikali niseme tu kwamba

Ukitaka kufaidi sekta ya biashara usitegemee biashara moja hapo utafaulu huu mtihani lakini kama mahitaji yanategemea biashara moja hapo umeyakanyaga
Ukiwa bungeni dili Ni nyingi hata unajua mifumo ya kukwepa kodi

Matajiri wengi wa kiarabu na kihind hapa bongo nyuma ya pazia wa nashare na wanasiasa

Hi biashara ya vyombo vya moto Tanzania imefilisi wengi bila connect unazama
 
Kwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
Ngojea nikuambie,bajaj labda kama hauna kazi uendeshe mwenyewe,na upate kijiwe kama kariakoo au maeneo ya town,kidogooo unaweza rudisha pesa yako,faida ikawa bajaj kuiuza
 
Wote hamna akili ,milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
We kaa hapo kwa shemeji,mwishoe aje akupige paipu nawewe, kuna mshkaji iyo milion kumi alienda kusini kununua korosho,alinunua kwa Kg 1300,kaja kuuza kg 4400, kanunua karibia awamu mbili, kapata faida chafu, sasaivi anasubiria ufuta,

We unasema milioni kumi utafanya biashara gani, kuna mshkaji ana meza pale mwenge mtaji kaanzia milioni tu,sasaivi yuko good kimtaji na maendeleo
 
Back
Top Bottom