Ubishi mkubwa ndio hua unaanzia hapo.Kama vile nyumba isivyoweza kujijenga yenyewe bila fundi, vivyo hivyo dunia na viumbe vyote haviwezi kuwa vimetokea tu bila sababu ya msingi au chanzo cha asili. Hata wanasayansi wengi wanakubaliana kuwa kila kilichoanza kuwepo lazima kiwe na chanzo. Binafsi naamini chanzo hicho ni Mungu.
Sasa unataka nione kama unavyo ona wewe?mbona mada ina vitu vingi ila ulichoona ni hicho mkuu mbona unakuwa subjective, ndio tunajua wewe ni atheist hata akisema nini huwezi kukubaliana naye, haina haja ya kila thread kusema neno lile lile
I can be both secular and religiousAtheist asiyeamini ktk Mungu.
Heathen mshenzi.
Secular tourist .mtalii WA kiulimwengu asiye na dini.
Secular tourist is our identity β not atheist
πππ haya bwana kila heriSasa unataka nione kama unavyo ona wewe?
Kila mtu ana uhuru wa kuona chochote akitakacho.
Hata yeye ni subjective vilevile, Ndio maana kila mara anaanzisha nyuzi kuhusu Atheists.
Hata huyo Mungu haiwezekani atokee tu from nowhere.Mimi nakupenda,Infropreneur kwa sababu, hoja zako huwa hazina matusi kama Atheists wenzako.
Mimi naamini kuwa wanyama, maua, milima, bahari.. vyote hivyo vinaonyesha wazi kuwa kuna Muumbaji. Angalia jua linavyowaka, dunia inavyolizunguka jua na kusababisha mchana na usiku. Angalia jinsi mfumo wa mwili wa binadamu ulivyo. Jinsi mtoto anavyozaliwa na kutambua mara moja kunyonya maziwa! Mambo haya hayawezi kuwa yalitokea kwa bahati tu kama Atheists mnavyoamini. Lazima kuna akili ya juu iliyotengeneza sheria za asili na mifumo hiyo. Akili hiyo ni ya Mungu.
Kama vile nyumba isivyoweza kujijenga yenyewe bila fundi, vivyo hivyo dunia na viumbe vyote haviwezi kuwa vimetokea tu bila sababu ya msingi au chanzo cha asili. Hata wanasayansi wengi wanakubaliana kuwa kila kilichoanza kuwepo lazima kiwe na chanzo. Binafsi naamini chanzo hicho ni Mungu.
Albert Einstein, mwanasayansi mahiri, ingawa hakuwa Mkristo, aliamini kwamba kuna Intelligent Designer wa universe. Sikiliza alivyosema:
"The more I study science, the more I believe in God."
Akasema pia:"God does not play dice with the universe."
Allan Sandage ni Mwanahisabati na mtaalamu wa nyota aliyesaidia kuthibitisha kuwa ulimwengu una mwanzo na alikiri kuna Mungu. Alisema:
"It was my science that drove me to the conclusion that the world is much more complicated than can be explained by science."
Antony Flew
Alikuwa mmoja wa waandishi mashuhuri wa falsafa waliopigania atheism, lakini katika uzee wake alibadilika na kusema kuwa lazima kuna akili ya juu behind life. Sikiliza anavyosema:
"A super-intelligence is the only good explanation for the origin of life and the complexity of nature."
Nakuombea. Naamini iko siku na wewe utamwamini Mungu, na utakuwa Mwinjilisti mzuri sana.
Often very difficult secularist believe in no religious no god no devil .I can be both secular and religious
NyongezaWarumi 9:20
"Ee binadamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! Kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Kwa nini umeniumba hivi?"
Naamini kuna creator ila mambo ya karma, miracle sipo nayo 100 percentOften very difficult secularist believe in no religious no god no devil .
π€£π€£π€£π€£π€£ Naunga mkono hoja Sana Sana kuna trick na magic hakuna kitu inaitwa maji ya mwamposa na mafuta ya upako inaponya magonjwa .wale NI wezi Tu.Naamini kuna creator ila mambo ya karma, miracle sipo nayo 100 percent
Asante kwa nyongezaNyongeza
Danieli 4:35
[35]"na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?"
Watoto 100....wee unadhani kutia mimba kitu kidogo eehKatika jamii yoyote yenye maadili mema, jukumu la kuwahudumia na kuwatunza watu wa nyumbani ni la msingi sana. Biblia katika 1 Timotheo 5:8 inasema: βKama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.β
Mbele za Mungu, Atheist ni mtu mbaya kwakuwa haamini kwamba kuna Mungu. Ndio sababu katika Zaburi ya 53:1 Atheist anaitwa mpumbavu.
Sasa mtu asiyetimiza wajibu wa kuihudumia familia yake, Mungu anamhesabu mtu huyo kuwa ni mbaya kuliko Atheist.
Kwahiyo watoto uliowazaa katika ndoa na nje ya ndoa ni wa kwako. Unapaswa kuwatunza. Kama umewatelekeza, wewe ni mtu mbaya kuliko Atheist.
Jiulize: umewapa mimba wasichana wangapi na wanawake wangapi tangu uanze uasherati na uzinzi? Inawezekana kabisa watoto waliozaliwa kwa mbegu zako hadi sasa ni 100+. Wote hao unapaswa kuwatunza. Kama hujui wako wapi, anza sasa kuwatafuta uwatunze.
Kuwatunza watu wa nyumbani mwako ni kuwahudumia kwa mali zako. Ni kuhakikisha wanapata malazi, chakula, mavazi, elimu na kuwa na afya njema hadi watakapoweza kujitunza wenyewe. Pamoja na hayo unapaswa kuwa karibu nao kihisia. Uwaonyeshe upendo na moyo wa kuwajali. Kama hufanyi hayo, tambua leo kuwa wewe ni mtu mbaya, na madhara ya kuwa mtu mbaya yatakupata.
For the record, I am not a single mother β but even if I were, the truth of Scripture remains unshaken. Godβs Word transcends human opinions and cannot be invalidated by sarcasm or prejudice.Sent or Inspired by Single mother π
Setfree mbona jana uliingia mitini shida ilikuwa nini.Katika jamii yoyote yenye maadili mema, jukumu la kuwahudumia na kuwatunza watu wa nyumbani ni la msingi sana. Biblia katika 1 Timotheo 5:8 inasema: βKama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.β