Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

Yesu alikufa halafu akafufuka ... Kweli au siyo kweli? Unaamini miujiza ipo au haipo?
Kufufuka kwa yesu ni suala la kiimani tu.

Na imani haihitaji uthibitisho.

Mwanangu ana amini baba yake nina nguvu sana kushinda watu wote, hilo si kweli.

Kama unataka tuchambue ressurection of jesus based on historical sawa.

Ila kuamini tu sio shida.

Miujiza ni kitu gani?
 
Bwana shemeji,sio kila kitu usichokijua wewe au kukiamini,maana yake HAKIPO,kuna vitu vingi wewe hivijui lkn vipo.
 
Misukule ni mingi huko usukumani,Ila msukule kweli dishi huyumba, hawezi piga simu
 
Alinichekesha niliye piga simu na kuwatakia ndugu zao heri ya mwaka mpya
 
Hawezi kuku jibu,
 
Jidanganye... Mimi Nimeshuhudia Mtoto wa Jirani yangu alifariki wakati tupo Darasa la 7 na Alikuja Kufufuka Tupo Form 4.. Na Mazishi Tulishiriki kabisa Na Tukazika
 
Misukule ni mingi huko usukumani,Ila msukule kweli dishi huyumba, hawezi piga simu

Mtu kufa hawezi kufufuka period!
Hiyo misukule ni mizuzu uliyolishwa madawa ya kuiondolea úfahamu na sio kuwa ati ilikufa.

Nenda kwa madaktari wanauwezo wa kukupa dawa ya kumfanya mtu awe msukule
 
Tukiupinga huu utumbo kuna watu wanatuona ni mapepo katika miili ya kibinadamu.

Upo sahii sana mtibeli.
 
Mtu kufa hawezi kufufuka period!
Hiyo misukule ni mizuzu uliyolishwa madawa ya kuiondolea úfahamu na sio kuwa ati ilikufa.

Nenda kwa madaktari wanauwezo wa kukupa dawa ya kumfanya mtu awe msukule
Unajua maana ya msukule!?..muhimbili Kuna dawa za kumfanya mtu kuwa msukule!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…