DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Fact
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obviously huwezi andika habari za masikini wakati wewe ni tajiri,Ametoka familia Maskini sana
Obviously huwezi andika habari za masikini wakati wewe ni tajiri,
Yesu alikufa halafu akafufuka ... Kweli au siyo kweli? Unaamini miujiza ipo au haipo?Mtu akifa hawezi kufufuka. Hiyo ipo kisayansi na kiimani
Kufufuka kwa yesu ni suala la kiimani tu.Yesu alikufa halafu akafufuka ... Kweli au siyo kweli? Unaamini miujiza ipo au haipo?
Bwana shemeji,sio kila kitu usichokijua wewe au kukiamini,maana yake HAKIPO,kuna vitu vingi wewe hivijui lkn vipo.Kwema Wakuu!
Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema.
Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa anaweza kufufuka na kurudi tena.
Jamii zilizogizani, familia zenye mambo ya kishirikina na Uchawi, familia zenye elimu duni ndio zinazoweza kuamini na kutokewa na matukio kama hayo ya uongo.
Habari hizo ukizifuatilia kwa umakini utagundua ya kuwa zinafanana kwa namna hii;
1. Marehemu alipata ajali mbaya na uso wake haukuwa rahisi kuutambua,
Kuharibika kwa mwili na uso kwa marehemu wengi hupelekea Watu kuzika mtu asiye sahihi. Na hiyo kupelekea mtu sahihi ambaye hajafa akirudi waseme Amefufuka jambo ambalo sio kwéli.
Ukichukua DNA ya marehemu aliyefariki ambaye bila shaka yupo kaburini kwani alizikwa haziwezi kufanana na ndugu wa marehemu.
Kuhusu zile stori za mtu kufa alafu wakazika kisha kaburi likichimbwa wakakuta Mgomba ni stori za Watu wajinga ambao upeo wao upo chini kabisa katika kufikiri mambo.
Mtu yeyote anayeamini habari hizo lazima awe na sifa zifuatazo;
1. Ametoka familia Maskini sana.
2. Ametoka familia inayoamini ushirikina na uchawi ambao kimsingi hauwezi kufanya kitu kama hicho.
3. Ametoka familia isiyo na elimu na yeye mwenyewe hana elimu.
4. Ametoka familia isiyomjua Mungu isipokuwa miungu na mizimu.
Nawatakia Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
HaswaaBwana shemeji,sio kila kitu usichokijua wewe au kukiamini,maana yake HAKIPO,kuna vitu vingi wewe hivijui lkn vipo.
Misukule ni mingi huko usukumani,Ila msukule kweli dishi huyumba, hawezi piga simuKwema Wakuu!
Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema.
Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa anaweza kufufuka na kurudi tena.
Jamii zilizogizani, familia zenye mambo ya kishirikina na Uchawi, familia zenye elimu duni ndio zinazoweza kuamini na kutokewa na matukio kama hayo ya uongo.
Habari hizo ukizifuatilia kwa umakini utagundua ya kuwa zinafanana kwa namna hii;
1. Marehemu alipata ajali mbaya na uso wake haukuwa rahisi kuutambua,
Kuharibika kwa mwili na uso kwa marehemu wengi hupelekea Watu kuzika mtu asiye sahihi. Na hiyo kupelekea mtu sahihi ambaye hajafa akirudi waseme Amefufuka jambo ambalo sio kwéli.
Ukichukua DNA ya marehemu aliyefariki ambaye bila shaka yupo kaburini kwani alizikwa haziwezi kufanana na ndugu wa marehemu.
Kuhusu zile stori za mtu kufa alafu wakazika kisha kaburi likichimbwa wakakuta Mgomba ni stori za Watu wajinga ambao upeo wao upo chini kabisa katika kufikiri mambo.
Mtu yeyote anayeamini habari hizo lazima awe na sifa zifuatazo;
1. Ametoka familia Maskini sana.
2. Ametoka familia inayoamini ushirikina na uchawi ambao kimsingi hauwezi kufanya kitu kama hicho.
3. Ametoka familia isiyo na elimu na yeye mwenyewe hana elimu.
4. Ametoka familia isiyomjua Mungu isipokuwa miungu na mizimu.
Nawatakia Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Utapeli tuu huo hamna mtu anaweza fufuka labda alikua amezimiaYesu alikufa na siku ya tatu akafufuka,
Ova.
Hawezi kuku jibu,Mkuu kuna kitu umekwenda sawa na kuna mahali umekosea.
Labda nikuulize, duniani kuna uchawi au hakuna.
Tuanze na swali hilo na majibu utakayojaza yawe ya kitafiti na siyo kishabiki.
Je wanaosemwa wamefufuka ni kutoka katika wafu kifo cha asili au ni kurejea walikochukuliwa kichawi baada ya nguvu za maombi kushinda?
Jidanganye... Mimi Nimeshuhudia Mtoto wa Jirani yangu alifariki wakati tupo Darasa la 7 na Alikuja Kufufuka Tupo Form 4.. Na Mazishi Tulishiriki kabisa Na TukazikaKwema Wakuu!
Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema.
Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa anaweza kufufuka na kurudi tena.
Jamii zilizogizani, familia zenye mambo ya kishirikina na Uchawi, familia zenye elimu duni ndio zinazoweza kuamini na kutokewa na matukio kama hayo ya uongo.
Habari hizo ukizifuatilia kwa umakini utagundua ya kuwa zinafanana kwa namna hii;
1. Marehemu alipata ajali mbaya na uso wake haukuwa rahisi kuutambua,
Kuharibika kwa mwili na uso kwa marehemu wengi hupelekea Watu kuzika mtu asiye sahihi. Na hiyo kupelekea mtu sahihi ambaye hajafa akirudi waseme Amefufuka jambo ambalo sio kwéli.
Ukichukua DNA ya marehemu aliyefariki ambaye bila shaka yupo kaburini kwani alizikwa haziwezi kufanana na ndugu wa marehemu.
Kuhusu zile stori za mtu kufa alafu wakazika kisha kaburi likichimbwa wakakuta Mgomba ni stori za Watu wajinga ambao upeo wao upo chini kabisa katika kufikiri mambo.
Mtu yeyote anayeamini habari hizo lazima awe na sifa zifuatazo;
1. Ametoka familia Maskini sana.
2. Ametoka familia inayoamini ushirikina na uchawi ambao kimsingi hauwezi kufanya kitu kama hicho.
3. Ametoka familia isiyo na elimu na yeye mwenyewe hana elimu.
4. Ametoka familia isiyomjua Mungu isipokuwa miungu na mizimu.
Nawatakia Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Bwana shemeji,sio kila kitu usichokijua wewe au kukiamini,maana yake HAKIPO,kuna vitu vingi wewe hivijui lkn vipo.
Jidanganye... Mimi Nimeshuhudia Mtoto wa Jirani yangu alifariki wakati tupo Darasa la 7 na Alikuja Kufufuka Tupo Form 4.. Na Mazishi Tulishiriki kabisa Na Tukazika
Alinichekesha niliye piga simu na kuwatakia ndugu zao heri ya mwaka mpya
Misukule ni mingi huko usukumani,Ila msukule kweli dishi huyumba, hawezi piga simu
Yesu alikufa halafu akafufuka ... Kweli au siyo kweli? Unaamini miujiza ipo au haipo?
Unajua maana ya msukule!?..muhimbili Kuna dawa za kumfanya mtu kuwa msukule!?Mtu kufa hawezi kufufuka period!
Hiyo misukule ni mizuzu uliyolishwa madawa ya kuiondolea úfahamu na sio kuwa ati ilikufa.
Nenda kwa madaktari wanauwezo wa kukupa dawa ya kumfanya mtu awe msukule