Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

SIKILIZEN 90.2 REDIO
KUNAMMOJA ANAFUFUA USIKU TU HUKO BUZA SIJUI KAWALOGA YAAN UKISIKIA N SUPER COMEDY..BINAFSI YEYE KAFIWA NA MMOJA WA WAZAZI WAKE AJAMFUFUA...

PALE KAWE TULINYANYULIWA MWAMMVULI JUU Mwamvuli chini watu wanasubiria misukuule iliokufa inatoka darini

huyuhuyuu kafa mzazi wake tumeenda kuaga
 kuzika
amkeni Mungu awape maarifa muachane na ujinga
 
huyo wa buza akifufua unasikia bababaa Amepigaa chafyaaaa

mpe majiya chumvi ..gafla babaaa
Anataka maji anaongea ndio baba

halooo ujambooo
Msukule sijamboooo bababaaa hahahaahahahaaaaa yan narudigi pub kuongea kv nusu nyingine kujipongeza kwa niaba ya nabiii
 
Bwana shemeji,sio kila kitu usichokijua wewe au kukiamini,maana yake HAKIPO,kuna vitu vingi wewe hivijui lkn vipo.
Robert analo tatizo, nahisi anahitaji msaada...

Au pengine ameshalogwa...

Binafsi yangu miaka ya nyuma niliwahi kuwa karibu na Mwanamke mchawi, akachukua nguo zangu, nywele kucha, unyayo unajua nilikuwa najiskiaje?

Nilikuwa siwezi kutofautisha ikiwa nimekuta au Niko hai, ulinitesa sana huo uchawi.

Robert badilika ndugu, Dunia haiko unavyodhani...

Nikiwa kwenye early 20's nilikuwa nawaambia watu Mimi silogeki, nikiwa mtu wa Sala sana na kumbe wakati huo ndio nimelogwa vibaya sana.
 
Back
Top Bottom