Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

Ao jamaa ni watu wanao penda ukubwa na kiki kama zilivyo tabia za CEO wao, matokeo yake mtu kapewa cheo kisicho na kichwa Wala miguu wajanja wanaenda ku mtafuna wajinga wanashangilia.
Sasa hii mambo ya kupenda Umaarufu bila vigezo stahiki wanaumia na wataendelea kuumia wengi.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli iliyotolewa na msemaji wa timu ya Simba kipindi hicho akiikejeli Yanga na kauli iliyotolewa na ndugu Adeni Rage ambae alikiwa kiongozi wa juu zaidi wa Simba Tena aliitoa kauli hiyo ndani ya mkutano mkuu wa klabu.. km umeshindwa kutofautisha hayo mambo basi wewe utakuwa ni zaidi ya mbumbumbu
 
Kwa wivu huu bila shaka ulitaka wewe ndio ukatafunwe,punguza wivu na makasiriko kwa wanawake wenzio
 
Luc Eymael je? Huyu mwamba alikaa na utopolo takribani miezi mitatu tu. Alichokibaini kwa Mashabiki wa utopolo ndicho hiki ulichokiandika.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Luc Eymael je? Huyu mwamba alikaa na utopolo takribani miezi mitatu tu. Alichokibaini kwa Mashabiki wa utopolo ndicho hiki ulichokiandika.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Luc Eymael yule ni kocha mbaguzi na alitoa kauli ya kibaguzi ambayo uongozi wenye akili wa Yanga ulimtimua na aliishia kufungiwa kwa kauli zake za kibaguzi. Kuita watu weusi nyani ni jambo lakibaguzi kwenye soka..
Nilidhani Adeni Rage alisema Kwa bahati mbaya kumbe alidhamiria
 
Hakuna tofauti basi ,hata hivo kocha Lucy alipigilia msumari kwa Kuwaita wapumbavu na manyani
 
Kwahiyo wakiambia Yanga ni ubaguzi,utopolo bhana wenye akili wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…