Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary
Screenshot_20220924-121930_Chrome.jpg

Na Jamaa lingine akapost

Screenshot_20220622-142331.jpg

Matokeo yake tukaanzia preliminary
Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na source
 
Ao jamaa ni watu wanao penda ukubwa na kiki kama zilivyo tabia za CEO wao, matokeo yake mtu kapewa cheo kisicho na kichwa Wala miguu wajanja wanaenda ku mtafuna wajinga wanashangilia.
Sasa hii mambo ya kupenda Umaarufu bila vigezo stahiki wanaumia na wataendelea kuumia wengi.
 
Mnasahau kwamba hata Manara alitwambia sisi Yanga kwa ukubwa wetu na kwakuwa sisi ndiyo mabingwa wa nchi tutaanzia raundi ya kwanza huku simba akianzia hatua ya awali?

Kwakuwa akili zetu ziko kama alivyowahi kusema mwenyewe tulimshangiliaView attachment 2366512

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli iliyotolewa na msemaji wa timu ya Simba kipindi hicho akiikejeli Yanga na kauli iliyotolewa na ndugu Adeni Rage ambae alikiwa kiongozi wa juu zaidi wa Simba Tena aliitoa kauli hiyo ndani ya mkutano mkuu wa klabu.. km umeshindwa kutofautisha hayo mambo basi wewe utakuwa ni zaidi ya mbumbumbu
 
Kwa wivu huu bila shaka ulitaka wewe ndio ukatafunwe,punguza wivu na makasiriko kwa wanawake wenzio
Ao jamaa ni watu wanao penda ukubwa na kiki kama zilivyo tabia za CEO wao, matokeo yake mtu kapewa cheo kisicho na kichwa Wala miguu wajanja wanaenda ku mtafuna wajinga wanashangilia.
Sasa hii mambo ya kupenda Umaarufu bila vigezo stahiki wanaumia na wataendelea kuumia wengi.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli iliyotolewa na msemaji wa timu ya Simba kipindi hicho akiikejeli Yanga na kauli iliyotolewa na ndugu Adeni Rage ambae alikiwa kiongozi wa juu zaidi wa Simba Tena aliitoa kauli hiyo ndani ya mkutano mkuu wa klabu.. km umeshindwa kutofautisha hayo mambo basi wewe utakuwa ni zaidi ya mbumbumbu
Luc Eymael je? Huyu mwamba alikaa na utopolo takribani miezi mitatu tu. Alichokibaini kwa Mashabiki wa utopolo ndicho hiki ulichokiandika.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Luc Eymael je? Huyu mwamba alikaa na utopolo takribani miezi mitatu tu. Alichokibaini kwa Mashabiki wa utopolo ndicho hiki ulichokiandika.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Luc Eymael yule ni kocha mbaguzi na alitoa kauli ya kibaguzi ambayo uongozi wenye akili wa Yanga ulimtimua na aliishia kufungiwa kwa kauli zake za kibaguzi. Kuita watu weusi nyani ni jambo lakibaguzi kwenye soka..
Nilidhani Adeni Rage alisema Kwa bahati mbaya kumbe alidhamiria
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli iliyotolewa na msemaji wa timu ya Simba kipindi hicho akiikejeli Yanga na kauli iliyotolewa na ndugu Adeni Rage ambae alikiwa kiongozi wa juu zaidi wa Simba Tena aliitoa kauli hiyo ndani ya mkutano mkuu wa klabu.. km umeshindwa kutofautisha hayo mambo basi wewe utakuwa ni zaidi ya mbumbumbu
Hakuna tofauti basi ,hata hivo kocha Lucy alipigilia msumari kwa Kuwaita wapumbavu na manyani
 
Luc Eymael yule ni kocha mbaguzi na alitoa kauli ya kibaguzi ambayo uongozi wenye akili wa Yanga ulimtimua na aliishia kufungiwa kwa kauli zake za kibaguzi. Kuita watu weusi nyani ni jambo lakibaguzi kwenye soka..
Nilidhani Adeni Rage alisema Kwa bahati mbaya kumbe alidhamiria
Kwahiyo wakiambia Yanga ni ubaguzi,utopolo bhana wenye akili wawili
 
Back
Top Bottom