Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Mama ameamua kutufanyia MZAHA ULIOPITILIZA, ni wakati sasa wa kuidai KATIBA MPYA kwa nguvu zote.
 
Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.

Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
Ni sahihi unachosema kwa asilimia100, Leo hii Tz ipo hivyo , Kigezo cha uteuzi ni NANI ANAKUJUA
 
Mkuu shida ya CHADEMA ni sadism- wanataka watu wote waliotoka kwao wateseke- wakiteuliwa tu wanaanza oh maadili sijui nini yaani kila aina ya maneno.
 
Wewe ni msafi kiasi gani? Iko kwenye rekodi ilivyokuwa ukitazamia na kudanganya kwenye mitihani wakati uko shule
 
Morogoro hawana akili anawafaa, watu gani kila siku kuchagua wabunge Waarabu na Wahindi. Wanachoweza kuwafanyia ni gari la Misiba
 
Kuna kauli Mama alitoa pale Dodoma kuwa unaweza kuwa na sifa zote za kuteuliwa lakini matendo yako na record zako zikakuharibia kwa hiyo muwe makini mnayofanya leo sababu haya yataamua hatima yako mbeleni sasa kwenye hili kateleza sababu inapingana na alichosema. Sina shaka na uwezo wake Msando lakini matendo yake ndio ingekuwa kikwazo.
 
Ila still, maza anaweza kuchenji gia muda wowote jamaa akapigwa chini kutokana na hii issue...Labda so far anamstiri tu asiingie kwenye historia kama mmoja wa DC aliyehudumu kwa muda mfupi zaidi katika historia ya jamhuri ya muungano wa TZ.
 
DC aliyepigwa chini kabla hajafika alipopangiwa kazi
 
Mbona kama ana totoz mbili ahahah
 
Ila still, maza anaweza kuchenji gia muda wowote jamaa akapigwa chini kutokana na hii issue...Labda so far anamstiri tu asiingie kwenye historia kama mmoja wa DC aliyehudumu kwa muda mfupi zaidi katika historia ya jamhuri ya muungano wa TZ.

DC aliyepigwa chini kabla hajafika alipopangiwa kazi

Mbona hawa wawili walishavunja rekodi ya siku moja labda avunje rekodi ya masaa😂😂
 
Unajua hii hali ilianzishwa na mwendazake ya kuchagua bila kuangalia historia ya MTU.
Zamani watu waliokua wanapewa nafasi hizi ni watu waliokua na heshima zao na umri wenyekueleweka lkn kwasasa zimekua ni nafasi za fadhira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…