Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi unachosema kwa asilimia100, Leo hii Tz ipo hivyo , Kigezo cha uteuzi ni NANI ANAKUJUAWakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.
Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
So should he be excused from his debauchery?
Mkuu shida ya CHADEMA ni sadism- wanataka watu wote waliotoka kwao wateseke- wakiteuliwa tu wanaanza oh maadili sijui nini yaani kila aina ya maneno.Mkuu umeandika kwa ukali sana. Tatizo Nini. Nakumbuka alishaomba radhi. Ungeweza tu kuunderline maadili. Lakini umekuwa very Personal. Tuambie Kuna Nini Kati yako na wewe. Ukiachana na hayo mengine, nahisi atakuwa Mkuu wa Wilaya mzuri.
NB. Watanzania Sisi wanafiki sana.
Wewe ni msafi kiasi gani? Iko kwenye rekodi ilivyokuwa ukitazamia na kudanganya kwenye mitihani wakati uko shuleKuna jambo moja labda hujalielewa...
Kila mmoja humu anajua na kuelewa kuwa kila binadamu bila kujali umri, hadhi, cheo au status yake ktk jamii;
å Huenda haja kubwa na ndogo
å Hufanya ngono halali na zisizo halali
å Wengine hata hufanya hata zile ngono kinyume na maumbile...
å Lakini kwa kufanyikia sirini huko, hatuwezi kuwa mahakimu kwa mambo yake huyo mtu ayafanyayo sirini yasiyomuathiri mtu mwingine moja kwa moja ambayo ni haki yake mtendaji na ivyo anajuana na Mungu wake aonaye sirini..
å Tena sasa mara nyingi kama sio zote, wafanyao huu uchafu ni watu ambao kwa nje unawaona kama watu maana sana na wana hadhi fulani hivi kwa sababu ya nafasi zao kisiasa, kiuchumi, utajiri, fedha nk nk lakini kumbe ni uchafu mtupu...
POINTI NI HII:
Kwamba, haya mambo ya kwenda choo, ngono nk sharti yafanyikie sirini na wala hakuna atakayekuwa na ugomvi na awaye yeyote. Ila ukitoa mambo yako ya sirini hadharani mfano eti unavua na kunya haja kubwa hadharani barabarani au unafanya ngono hadharani, hapo ni haki ya jamii ikung'ong'e na kukuhukumu sawia...!
Moja ya hukumu ni kutoaminiwa kisha kupewa nafasi yoyote ya uongozi ktk jamii maana hutaifundisha jamii hiyo lolote la manufaa zaidi kuwa wakikuona tu watakuwa wanaona uchafu wako toka kwenye nyayo zako hadi utosini. Kama utaongoza watu wenye mtazamo hasi kwako, usitegemee utapata ushirikiano wa dhati kwao unless utumie udikteta..!!
Sasa wewe unapoingiza ishu ya watu "kama wangefungiwa kamera za siri" ili kurekodi yafanyikayo sirini na kila mtu, sijui unakuwa umewaza nini tu..
SHIDA IKO WAPI KATIKA HILI LA ALBERT MSANDO?
Iko hapa...
Kwamba, binadamu aliye timamu na kamili anakamilishwa na uwezo wake wa kutenganisha mambo ya kufanyia sirini na yale ya kuweka wazi kwa manufaa ya wengine...
Hili alilofanya Albert Msando ni la sirini. Amekosa maadili na hastahili kuwa sehemu ya mtu wa mfano wa kuigwa ktk jamii. Linai - spoil jamii na watoto wetu...
Inawezekana alishagundua makosa yake na kutubu na kusamehewa....
Lakini labda kidogo watu tunakuwa hatujui jambo moja muhimu sana la kimaisha na kiroho....
Kuwa, kusamehewa ni hatua moja na wala hiyo haina ugumu wowote kuitenda kwa yeyote aombaye msamaha wa dhati ya moyo...
Lakini madhara (cost effects) ya baadhi ya makosa ya kimaadili kama hili la Msando hukaa muda mrefu sana hadi kufutika. Na kwa kifupi mtu wa namna hii hawezi kuaminiwa tena na jamii na kwa lugha rahisi haishauriwi akapewa nafasi ya uongozi wa kijamii...
Na actually hii ndiyo gharama (cost) moja mbaya sana ya dhambi, kwamba, unasamehewa lakini kumbukumbu (matokeo ya dhambi hiyo) kufutika huwa ni ngumu sana na utaishi na matokeo hayo muda mrefu sana...
Albert Msando kwa tendo hili la kingono ya hadharani, alipaswa kuja kuwa kiongozi wa jamii ktk ngazi yoyote miaka 100 ijayo (kama atakuwapo) baada ya kizazi hiki kilichoona uchafu wake kutoweka na kuja kizazi kingine kipya kabisa kisichomjua....
Kwa sasa tendo lake hili litamwandama popote atakapokuwa na atakalokuwa anafanya....
Ila still, maza anaweza kuchenji gia muda wowote jamaa akapigwa chini kutokana na hii issue...Labda so far anamstiri tu asiingie kwenye historia kama mmoja wa DC aliyehudumu kwa muda mfupi zaidi katika historia ya jamhuri ya muungano wa TZ.Hahahah wazee wa kusagia kunguni😂😂😂 mmemkazia mpaka muende nae kuzimu kudadadeki! Ubaya ni kuwa hawezi tenguliwa this shit is for the past! Ingekuwa imetokea week iliyopita sawa na uzuri mama mtu wa mitandao atakuwa alishaionaga hio clip kwa hio hamna geni!
Ahahahahhahaha aisee nimecheka sanaHuwezi jua, labda kuna watu walikapenda hako kamchezo na huenda wame save clip kwa matumizi binafsi.
DC aliyepigwa chini kabla hajafika alipopangiwa kaziIla still, maza anaweza kuchenji gia muda wowote jamaa akapigwa chini kutokana na hii issue...Labda so far anamstiri tu asiingie kwenye historia kama mmoja wa DC aliyehudumu kwa muda mfupi zaidi katika historia ya jamhuri ya muungano wa TZ.
Mbona kama ana totoz mbili ahahahNi Albert Msando.
Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?
What was he doing there? Fingering her?
What the hell is wrong with you Samia?
Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?
Shameful! Repulsive! Disgusting!
And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?
Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?
=====
Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.
Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
Kesha report mkuu. Na baada ya kuapishwa alikimbilia fasta kwenye ishu ya ile ajali...walau awe kafanya mishe mbili tatu kabla hajatoswa, hopefully...DC aliyepigwa chini kabla hajafika alipopangiwa kazi
Ila still, maza anaweza kuchenji gia muda wowote jamaa akapigwa chini kutokana na hii issue...Labda so far anamstiri tu asiingie kwenye historia kama mmoja wa DC aliyehudumu kwa muda mfupi zaidi katika historia ya jamhuri ya muungano wa TZ.
DC aliyepigwa chini kabla hajafika alipopangiwa kazi
Hahahah Kihongosi kapangiwa majukumu mengine sio 😂😂😂View attachment 1828264
Mbona hawa wawili walishavunja rekodi ya siku moja labda avunje rekodi ya masaa😂😂