Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Common!! Nyani umetoa madini hadhimu sana hivi hawa ma Dc sio ndio wafungisha ndoa just imagine lihuni kama hilo linafungisha ndoa?

SSH ameteleza sana kwenye hizi teuzi
 
Mfumo wa CCM haujali hayo, cha msingi na kikubwa ni kurudisha fadhila, kwa wote waliohamia CCM tokea vyama pinzani.

Na vijana wameshausoma mchezo.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ikishavuja hiyo ni hadaran.....kipemba
hadharani kiswahili
 

1. Kwani Maadili ni nini? Unaweza kuamua kufanya mapenzi na mkeo/Mumeo sokoni kisa halali kwa waliooana?

Hebu kidogo eleza......

Maadili ni nini? Tafuta jibu ukielewa jiulize unatetea nini.
 
Ni CCM mwenzio acha wivu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
SIFA ZA KUWA DC PAMOJA NA MAJUKUMU YAKE

DISTRICT COMMISSIONER.


PURPOSE OF THE JOB

The DC has the prime responsibility for representing the government within the area of the District for which he is appointed and for that purpose all the administrative functions of Government in relation to that District shall be exercised by all through the DC.
MAIN ACTIVITIES
1. To secure the maintenance of law and order in the District.

2. To ensure implementation of general policies of Government in the District.

3. To direct and supervise disaster and relief operations in the District.

4. As a chairperson of the DCC, to determine the specific direction of effort in implementing the general policies of the government in the District.

5. To provide and secure the enabling environment for successful performance by local authorities of their duties and functions.

6. To ensure compliance by all persons and authorities with appropriate government decisions, guidelines and regulations in relation to the promotion of local government system.

7. To perform all such acts and things as shall facilitate or secure the effective, efficient and lawful execution by the local authorities of their statutory or incidental functions.
8. Any other relevant duty assigned.

Key Outputs

1. Presence of peace and tranquility in the district.
2. District disaster preparedness strategies and disaster Management report.

3. Clean Certificates offered to LGAs in the district.

4. Timely submission of statutory, progress and other relevant reports.
5. Value for money in all development projects.

Qualifications Degree or equivalent qualification from a recognized academic
institution.

Competencies Knowledge

Must have proficient knowledge in the doctrine of rule of law, good governance and principles of natural justice; and an
understanding of relevant legislations, policies and procedures, principles of D by D, MKUKUTA and Strategies for service
delivery, leadership and management principles and practices.

Skills

Must demonstrate the leadership and supervisory skills; team building skills; problem solving skills; basic counseling skills;
negotiations skills; effective public relations and public speaking skills; stress management skills.

Personal attributes

Must be able to maintain confidentiality, use sound judgments and perform independently; maintain standards of conduct; must possess cultural and political awareness and sensitivity; be respectful, flexible, initiative, consistent and fair; demonstrate sound work ethics.

Experience
Wide range of experience in political and/or public administration minimum 10 years.
Salary Scale LSS (P) 1


Hii ni kwa mujibu wa PMG-Planning Management Guideline ilitolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2011/2012
 
1.Magufuli
2.Sabaya
3. Makonda
4.Msando
5. Kihongosi( wapinzani wanastahili wauwawe)
6. Heri James (tutaua kwa kuwadunga sindano)

Leo hii hawa wamewahi kuwa viongozi, wengine ni viongozi wateuliwa bado unaamini kuna vetting hapa ?

Hakika hakuna mkuu

Aibu tupu
 
Msando hafai!
Bado una kinyongo na Msando kupaki gari za kifahari nyumbani kwake wakati wewe miaka nenda rudi unasafisha vyoo marekani mamako bongo anaishia kuendesha Carina ya marehemu baba yenye usajili wa mwaka 2003..

Bado unachukia vijana wa kibongo wanaomake it in life hapahapa bongoni wakati wewe achievement yako kubwa ni kujua vocabularies ila pesa ya kufanya mambo yanayoonekana imekupiga chenga!!

Swain ukapost eti akaunti yako ina billion nane wakati mamako anakaa kwenye kinyumba cha ovyo na wewe hakuna unachomiliki kwa jina lako hapa bongo..

Fake ass bitch..
 
Rais ktk maamuzi yake anaongozwa na sheria zaidi kuliko kitu kingine na sheria husema wazi kipi kinafaa na kipi hakifai, tofauti na maadili ni suala la utashi tu wa mtu hakuna popote ilipoandikwa.

Dhambi kubwa ktk utawala ni pale sheria inapokiukwa ktk kufanya maamuzi...

Labda cha kushauri hicho kipengele cha maadili kiwe sehemu ya sheria vinginevyo maadili ni utashi tu...

Hili la Alberto na Giggy ni suala binafsi tu, kama ni maadili kamati ya maadili ya Mawakili haikumkuta na kosa lolote wala hakuwahi kuwa charged.

Kikubwa ni sheria, maadili ni utashi tu...
 
Kina mama, wazazi wasihusike katika malumbano ya uteuzi wa wanasiasa tafadhali,
Sote tumezaliwa na kina mama.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Choirboys boys don't make good leaders. So quit frothing in the mouth like a deranged madman, you stupid cunt.
 
Naunga mkono hoja, kwani haiwezekani mtu akatoa hoja zake bila kutukana! Hoja ilikuwa ya msingi kabisa kuhusu umuhimu wa vetting, lkn sasa hayo mengine duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…