Na wenye uwezo wakijitutumua tu kuonekana basi unakuqa ndio mwisho wao aidha kwa mitaani au wanapelekwa Ahera kabisa. Hii nchi ione hivi hivi.Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.
Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
Babangu anahusika na Nini wewe Pinga, hafu usinipangie jinsi ya kufikiria na hisia ninazo feel, wengine twapenda maadili. Hafu koma kuingiza wazazi kwenye opinions, uko so immatured mfyuuuu.Kwanini usiumie kwa mambo yanayokuhusu kama babako kufanya uasherati ovyo kwenye zile bar za Nfoni??
Ni ile ile iliyoleta sokomoko kuanzia tar 9 hadi 17 MachiMheshimiwa rais inampasa kuishughulikia team yake inayomfanyia mapendekezo.
Inamfedhehesha na kudharirisha taasisi ya Urais.
Kwenye gari ni ukumbini iwe nyumbu?
Umejuaje ni simu ya mpambe au mpiga picha na sio selfie??
Ni kweli kwa hili ni aibu tunalea jamii gani ya hvo aisee, kila mtu awe responsible kwa dhambi zake hata nikiwa Mimi. Tena Kuna Hadi video ya hadharani hivi, uongozi yapasa mtu mwenye maadili.Mheshimiwa rais inampasa kuishughulikia team yake inayomfanyia mapendekezo.
Inamfedhehesha na kudharirisha taasisi ya Urais.
I agree with you aisee.With all due respect Msando haku deserve hii nafasi kwa kasoro za kimaadili...
naona mama akifanya marekebisho sooner than later.....
Ni ile ile iliyoleta sokomoko kuanzia tar 9 hadi 17 Machi
I agree with youThe trick is simple,
DO ALL THE DIRTIES BUT MAKE SURE YOU DONT GET CAUGHT..
Sabaya Yuko kisongo kesi zake zinaenda mahakamani kwahyo iwe sawa viongoz wa umma kutiana vidole kwenye papuchi na video iko hadharani Sasa hapo anafundisha Nini jamii.Kwaiyo angeteuliwa shangazi yako, maana hakuna mkamilifu chini ya jua, Bora ya uyo Msando, kuliko jambazi na muuaji Kama Sabaya,
Na mtekaji watu Kama Bashite
Kabisa yalishapita wamwache jamaaYa kale yamepita😂😂
Mavi ya kale hayanuki 😎😎
Ilishapita si aliomba msamahaSabaya Yuko kisongo kesi zake zinaenda mahakamani kwahyo iwe sawa viongoz wa umma kutiana vidole kwenye papuchi na video iko hadharani Sasa hapo anafundisha Nini jamii.
Wenyewe wanaomsema sasa🤔🤔🤔Kabisa yalishapita wamwache jamaa
Mchapakazi afanye kazi
Kwanza mambo hayo ni personal issue na hutokea
Ova
NishakusomaWenyewe wanaomsema sasa🤔🤔🤔
Wacha tuu niache signature yangu ilivyo
Kuomba msamaha alisamehewa ila kukalia ofisi ya umma acheni utani mbona yule DC wa Iringa aliomba msamaha kwahyo watu waharibu Mambo waombe msamaha mhhh, it's like promotion ya uvunjifu wa maadili aisee. Tena hapo nikumuwekea mama Samia mtego kuonekana naye Hana maadili aisee. Jaribu kwa mamaIlishapita si aliomba msamaha
Ova
No one is perfect wengi hufanya madhambi kwa Siri ila ikishatoka nje madhara huyakwepi kabisa, tuwe tu makini na Mambo yetu kwa jamii iliyostaarabika kupata nafasi ni ngumu hata ka utendaji mzuri. Tena ingekuwa ulaya gigy alimshtaki msando kwa kumzalilisha na amgevuta mpunga mrefuKila mtu ana upande wake wa siri ambao jamii hauujui/hatuujui. Hyo video haimwondolei mtu kuwa mchapakazi, mzalendo n.k wakati sisi tunamuona mchafu/hafai kupitia video, mama kamuona mchapakazi, mwadilifu, anaweza kuongoza wilaya ndio maana amempa nafasi.
Btw hakuna mkamilifu chini ya jua, wewe mwenyewe unamabo yako yakiwekwa hadharani dunia itasimama!!