Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3.
Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
 
Ulishawahi kuona mchezaji ana kitambi? Nyie manyama uzembe ndo mfuate hiyo menu uliyoandika hapo.
Labda wazee wa masindano ndo watapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom