Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
CHADEMA watapinga hili.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili.
Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia.
Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha.
UONGOMwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili
Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia
Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha
KuraWamarekani huwa wanazingatia nini mpaka kuchagua viongozi wa ngazi za juu wa nchii ?
Okay inaweza kuwa swali langu halijakaa vizuri niliweke vizuri zaidi.Kura
Historia ya Marekani ni tofauti sana na Singapore, Marekani Rais anachaguliwa kwa kura tu, kuanzia wagombea katika vyama hadi Urais. Japo vyama huwa vina uwezo wa kutozingatia kura za wanachama ni nadra sana kufanyika hivyo.Okay inaweza kuwa swali langu halijaa vizuri niliweke vizuri zaidi.
Ni vigezo gani vinatumika kumpata mgombea au mpaka Rais wa marekani kwa kuzingatia ukubwa na umuhimu wa taifa lao au mtu yoyote yule hata mchekeshaji asiye na uzoefu na uongozi anakuwa Rais wa marekani ?
Kwa kukurahisishia zaidi unafuatilia process wanazo zingatia Singapore kupata waziri au waziri mkuu mfano waziri mkuu wa sasa Lawrence Wong nafikiri utakuwa umenielewa nilicho kusudia kuuliza.
Marekani Taasisi zina nguvu sana na zina uhuru mkubwa mno dhidi ya maamuzi au ushawishi wa Rais, hata Rais mwendawazimu sio rahisi kuharibu nchi ndani ya kipindi kifupi, atahitaji muda mrefu sana kufanya hivyo baada ya kuzidhohofisha Taasisi muhimu.Okay inaweza kuwa swali langu halijakaa vizuri niliweke vizuri zaidi.
Ni vigezo gani vinatumika kumpata mgombea au mpaka Rais wa marekani kwa kuzingatia ukubwa na umuhimu wa taifa lao au mtu yoyote yule hata mchekeshaji asiye na uzoefu na uongozi anakuwa Rais wa marekani ?
Kwa kukurahisishia zaidi unafuatilia process wanazo zingatia Singapore kupata waziri au waziri mkuu mfano waziri mkuu wa sasa Lawrence Wong nafikiri utakuwa umenielewa nilicho kusudia kuuliza.
Ni kweli wapo vizuri sana upande huo nilishangazwa kuona mtu kama Trump kuwa Rais na anapata wafuasi sina hakika kama siasa, uongozi na status ya marekani hapa duniani anaifahamu vizuri au ndio anaichukuliwa kawaida tu.Marekani Taasisi zina nguvu sana, hata Rais mwendawazimu sio rahisi kuharibu nchi ndani ya kipindi kifupi, atahitaji muda mrefu sana kufanya hivyo baada ya kuzidhohofisha Taasisi muhimu.
USA kuna vyama viwili? Kasome tena.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili.
Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia.
Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha.
Kwa hichi ulichokisema kwa US ni kosa kubwa . Fanya utafiti kwanza. Angefanya hiki ulichokisema kesi inaweza mfilisiMedia ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.
Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.
Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.
Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.
Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
Sio kweli, iko pale paleinfluence ya trump imekuwa mara dufu tangu ilon maski ashikilie keyboards
influence ya trump imekuwa mara dufu tangu ilon maski ashikilie keyboards