Mtu kama Elon Musk anaweza kuamua nani awe Rais wa Marekani

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.

Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.

Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.

Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.

Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili.

Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia.

Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha.
 
CHADEMA watapinga hili.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili

Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia
Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha
UONGO
 
Okay inaweza kuwa swali langu halijakaa vizuri niliweke vizuri zaidi.

Ni vigezo gani vinatumika kumpata mgombea au mpaka Rais wa marekani kwa kuzingatia ukubwa na umuhimu wa taifa lao au mtu yoyote yule hata mchekeshaji asiye na uzoefu na uongozi anakuwa Rais wa marekani ?

Kwa kukurahisishia zaidi unafuatilia process wanazo zingatia Singapore kupata waziri au waziri mkuu mfano waziri mkuu wa sasa Lawrence Wong nafikiri utakuwa umenielewa nilicho kusudia kuuliza.
 
Okay inaweza kuwa swali langu halijaa vizuri niliweke vizuri zaidi.

Ni vigezo gani vinatumika kumpata mgombea au mpaka Rais wa marekani kwa kuzingatia ukubwa na umuhimu wa taifa lao au mtu yoyote yule hata mchekeshaji asiye na uzoefu na uongozi anakuwa Rais wa marekani ?

Kwa kukurahisishia zaidi unafuatilia process wanazo zingatia Singapore kupata waziri au waziri mkuu mfano waziri mkuu wa sasa Lawrence Wong nafikiri utakuwa umenielewa nilicho kusudia kuuliza.
Historia ya Marekani ni tofauti sana na Singapore, Marekani Rais anachaguliwa kwa kura tu, kuanzia wagombea katika vyama hadi Urais. Japo vyama huwa vina uwezo wa kutozingatia kura za wanachama ni nadra sana kufanyika hivyo.

Kuhusu mtu yeyote kuwa Rais kwa Marekani inawezekana mradi amekidhi vigezo muhimu vya katiba.
 
Okay inaweza kuwa swali langu halijakaa vizuri niliweke vizuri zaidi.

Ni vigezo gani vinatumika kumpata mgombea au mpaka Rais wa marekani kwa kuzingatia ukubwa na umuhimu wa taifa lao au mtu yoyote yule hata mchekeshaji asiye na uzoefu na uongozi anakuwa Rais wa marekani ?

Kwa kukurahisishia zaidi unafuatilia process wanazo zingatia Singapore kupata waziri au waziri mkuu mfano waziri mkuu wa sasa Lawrence Wong nafikiri utakuwa umenielewa nilicho kusudia kuuliza.
Marekani Taasisi zina nguvu sana na zina uhuru mkubwa mno dhidi ya maamuzi au ushawishi wa Rais, hata Rais mwendawazimu sio rahisi kuharibu nchi ndani ya kipindi kifupi, atahitaji muda mrefu sana kufanya hivyo baada ya kuzidhohofisha Taasisi muhimu.
 
Marekani Taasisi zina nguvu sana, hata Rais mwendawazimu sio rahisi kuharibu nchi ndani ya kipindi kifupi, atahitaji muda mrefu sana kufanya hivyo baada ya kuzidhohofisha Taasisi muhimu.
Ni kweli wapo vizuri sana upande huo nilishangazwa kuona mtu kama Trump kuwa Rais na anapata wafuasi sina hakika kama siasa, uongozi na status ya marekani hapa duniani anaifahamu vizuri au ndio anaichukuliwa kawaida tu.

Namuona ni mtu fulani hivi mwenye maamuzi ya ajabu tofauti na ukubwa wa taifa lake namuona kama mfanyabiashara zaidi tofauti na mwanasiasa jambo zuri wamarekani wana taasisi zenye nguvu kama unavyosema.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili.

Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia.

Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha.
USA kuna vyama viwili? Kasome tena.
 
Ona anachopost kwenye akaunti yake ya X. Ni vijembe tupu kwa Democratics

Screenshot_20240729-142002_X.jpg

Screenshot_20240729-142031_X.jpg
 
Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.

Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake. Akaudhika sana baada ya kuona tweet ya Rais Biden in engagement kubwa kuliko yake.

Akawaita mainjinia wa twitter na kuwaambia kuwa wafumue mfumo ili tweets zake ziweze kuonekana mara 1000 zaidi! Jamaa wakafanya hivyo.

Sasa naona jamaa ni MAGA hasa. Sijui kaahidiwa nini? Post zake za kusupport republicans zinavuta mamilioni ya watu.

Influence ya jamaa inaweza kuamua rais wa US.
Kwa hichi ulichokisema kwa US ni kosa kubwa . Fanya utafiti kwanza. Angefanya hiki ulichokisema kesi inaweza mfilisi
 
Kwa Marekani investors wengi waliowekeza kwenye tech wanamsupport sana Trump kwa sababu ya sera zake.

Hata kundi la wafanyabiashara wakubwa wanamsupport sana

Ndio maana walimchangia Trump mtonyo wa kutosha kugharamia campaigns zake
 
Back
Top Bottom