Mtu kama Elon Musk anaweza kuamua nani awe Rais wa Marekani

Kwanza ujue republican wao wanakinda masirahi ya nchi Yao na watu weupe.

Dems wao wanalinda masirahi ya nchi na minorities...kama wahamiaji, masukuni na LGBTQ (mashoga na namna zake).
 
 
🤣🤣

Hivi nyie watu huwa mnatoa wapi hizo taarifa zenu?

Kwa mfano wewe hiyo ‘electro vote’ umeitoa wapi?
 
Watu wengi hawajui kabisa namna au mfumo wa uchaguzi ulivyo nchini Marekani na ni kazi ngumu sana kuwaelewesha kwa sababu wengine hasa wale ambao wana zile imani za kidini uelewa wao unakuwa wa shida sana.

Mfumo wa uchaguzi ulivyo nchini Marekani ni mzuri sana kwa mazingira yao na wenyewe wanaridhika nao kabisa na ndio maana unakubalika kama uchaguzi uliyo bora zaidi duniani.
 
Sasa kama ni hivyo si uchaguzi uwe wa hizo electro vote peke yake badala ya kupoteza muda kuwapigisha wananchi wote kura huku mkijua kabisa maamuzi yao sio ya mwisho? Demokrasia ni wengi wape na sio vinginevyo. Au unataka kusema Marekani kuna ukabila na labda huenda kabila la Los Angeles likamchagua fulani kisa kabila lao?
 
Hana uwezo huo, kama ni pesa, US billionaires wako maelfu, na wengine wengi tuu waliwahi kugombea na hawakupata kitu, atapiga kelele na kuchanga tuu kama wengine
 
Lazima lgbtq+ mutetee mifumo yenu inaowapendelea
 
Lazima lgbtq+ mutetee mifumo yenu inaowapendelea
Walioendelea na kujitambua wanalinda na kuheshimu haki za kila raia hata za mashoga pia zinalindwa , ndio maana kila mtu anataka kuishi US, nyie endeleeni kuibiana na kubaguana
 
Lengo lake kubwa aikiingia ni kuzipunguzia hizo taasisi nguvu kwa madai zinamkwamisha. Anataka watendaji wengi wa taasisi wawe wa kuteuliwa na rais. Republicans wanaproject 2025 ya kufumua kabisa mfumo.

Trump mtu wa ajabu ila sera zake Inaeleweka sana na wazungu wengi wavijijini na wa kujikweza. Sera yake kuu anayoenda nayo uchaguzi huu ni uhamiaji. Hii imempatia sana wafuasi.
 
Mtoto wa kiume wa Elon aligeuka kuwa shoga ndio sababu za Elon kuchanganyikiwa na kuanza kugombana na Democrats.
Kashindwa kumdhibiti mwanae anasingizia demokrats.
 
Uongo, kuna uwezekano hujui kuhusu electoral college
 
Kwa kawaida upigaji kura wa electoral college umeendana na popular votes. Ni mwaka huo mambo ndiyo yalikuwa tofauti. Ni mfumo mzuri ili kuleta usawa wa majimbo lakini una kasoro zake.
 
Kwa mfumo wa marekani hawezi, labda wawe wengi lakin peke yake hatoweza, ni kutokana na mfumo na misingi ya kupata kiongozi ilivyo pande hizo
Yupo yeye, fox news, newsmax. Wana nguvu balaa.
 
Lazima lgbtq+ mutetee mifumo yenu inaowapendelea
Lgbtq mkubwa alikuwa ni yule mtume wenu aliyekuwa akinyonya ulimi wa mwanamume mwenzake na baadaye kwenye biashara yao haramu ya utumwa wakaleta tena hiyo dhambi huku Afrika. That's all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…