JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kwanza ujue republican wao wanakinda masirahi ya nchi Yao na watu weupe.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hata Marekani ni nchi ya chama kimoja, ila kwasababu tu ya anasa ya wamarekani wao wameamua kua navyo viwili.
Marekani wana free na fair election kwasababu wana chama kimoja walichokigawa mara mbili kuwapa wananchi wao kiini macho cha demokrasia.
Elon Musk na mabilionea wenzake hawana haja kabisa ya kuingilia uchaguzi kwasababu mshindi yoyote yule anaunda sera zitakazowanufaisha.
Dems wao wanalinda masirahi ya nchi na minorities...kama wahamiaji, masukuni na LGBTQ (mashoga na namna zake).