Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yaani maana yake, wapinzani watake wasitake, ni lazima CCM ipitishwe Kwa kura za wizi😎Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama vingine?
Sasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM
View attachment 3084587
Sasa mtu kama huyu akisimamia uchaguzi CHADEMA watatoboa kweli?
Pia soma:Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki
Majaji wengi ni waganga njaa Tu, Umesahau Marehemu Jaji Ramadhan alichukua fomu ya Kugombea Uraisi kwa ticket ya CCM?? Imagine Jaji Mkuu Mstaafu kumbe alikua mwana CCMSijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama vingine?
Sasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM
View attachment 3084587
Sasa mtu kama huyu akisimamia uchaguzi CHADEMA watatoboa kweli?
Pia soma:Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki
Mahakama ilisema hamna shida, wanatakiwa "waape" tu inatosha kuwafanya wawe fair.
Sasa Majaji wenyewe si wanatokana na utukufu wa humo humo ccm?Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama vingine?
Sasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM
View attachment 3084587
Sasa mtu kama huyu akisimamia uchaguzi CHADEMA watatoboa kweli?
Pia soma:Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, tume ya uchaguzi kuendelea na muundo ule ule hakuna uchaguzi huru na haki
Kwani ametoa tamko gani kuhusiana na uchaguziSasa leo mkurugenzi wa Halmashauri ya Singida Bi Ester Anania Chaula, anagombea ubunge wa Afrika ya Mashariki kupitia CCM
Swali muhimu ni "tutaamua" lini?Hii nchi iko shaghala baghala tu, inaenda kama haina kichwa. Wananchi wengi hawajielewi. Sababu wananchi ndiyo mtaruhusu, viongozi wawachezee kama wadoli, ama wawaheshimu kama binadamu na haki zenu zote. So huu ujinga wa uchaguzi, utakoma pale tutakapoamua vinginevyo.
Tanzania wapinzani ni Chadema tu.Kwanini CHADEMA pekee? Kwanini usizungumzie vyama vya Upinzani kwa ujumla?
HahahaKwani ametoa tamko gani kuhusiana na uchaguzi
Kazi kweli kweli....kiapo cha mchongoMahakama ilisema hamna shida, wanatakiwa "waape" tu inatosha kuwafanya wawe fair.
Ila kweli ccm imechokwa pamoja na kuwa madarakani miaka 60 bado haiwezi kushinda bila kura za wizi.Yaani maana yake, wapinzani watake wasitake, ni lazima CCM ipitishwe Kwa kura za wizi😎
Kuna vyama gani vingine vya upinzani hapa nchini? Vingine si matawi ya CCM yale? CHADEMA ndio wapinzani pekee hapa nchini!vyama vya Upinzani kwa ujumla?