Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hata ndani ya CHADEMA wapinzani ni wachache mno, yaani wa kuwahesabuKuna vyama gani vingine vya upinzani hapa nchini? Vingine si matawi ya CCM yale? CHADEMA ndio wapinzani pekee hapa nchini!
Ukitaka kujua hili na kwamba Watu hawatarget Ruzuku tu, angalia kama watasusia Uchaguzi Mkuu wa Mwakani kama walivyosema
Juzi Katibu Mkuu alisusa kuendelea na kikao kwasababu Nchimbi wa CCM hakuwepo, Je Uchaguzi kwa Tume hii hii atasusia?