nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
kweli huyu jamaa anapepo la ukiherehere lenye nyota ya roho mbaya....Najua P Mayalla una lengo la kuwa expose wengi zaidi. Hujaacha kile ulichomfanyia Kabendera.
Lengo lako ni comments kama hizo zitiririke hapa upeleke file huko.
Una roho mbaya sana, ila watu tu hawakujui.
Hao ni kama tone kwenye bahari na kamwe watu vibwengo na wenye akili mgando kama hao hawakosekani kwenye nchi aina yeyote ile duniani.Pasco umeona watu walivyo kosa uzalendo??? Hii yote ni kwasababu ya viongozi wetu wanayoyafanya kukandamiza/kuumiza/kuua/kuteka/kutesa kwa kisingizio Cha uzalendo.
Chuki imefika pakubwa umoja na mshikamano kwa Tanzania unazidi kufifi toka awamu ya tano imeingia madarakani.
Halafu utasikia hatuna UHURU wa KUJIELEZA.Sio corona tu hata alshababu nao waje tu,upuzi imezidi na uonevu bila sababu
Naam, hao wajinga wachache wa kwa Trump nao wanatekwa na kupotezwa?Hao ni kama tone kwenye bahari na kamwe watu vibwengo na wenye akili mgando kama hao hawakosekani kwenye nchi aina yeyote ile duniani.
Ukienda kwenye page za Trump katika mitandao unaweza kuhisi yule rais muda wowote kinanuka raia wanamtoa kwa nguvu.
Kwahiyo hawa wajinga wachache humu mitandaoni wasikupumbaze..
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua P Mayalla una lengo la kuwa expose wengi zaidi. Hujaacha kile ulichomfanyia Kabendera.
Lengo lako ni comments kama hizo zitiririke hapa upeleke file huko.
Una roho mbaya sana, ila watu tu hawakujui.
'Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo'Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".
Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!
Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!
Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!
Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani
Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.
Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?
Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?
Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.
Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Kwahiyo wew ulitakaje, serikali yako iendelee kutesa upinzani na kuwavunja mikono.. Si bora uje ili hao police na serikali yako iogope kuwashika upinzani na ipambane na corana na ikiwezekana watu Wa ccm waupate huo ugonjwa ili waache kuwatesa na kuwavunja mikono wapinzani.. Tena na wewe ulivyo mnafiki uupate ili uache unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikaa kumbe Taifa limefikia hapa...?!!Nani anatufanya tuwe wamoja tena??Pascal Mayalla,
P.
Umetikisa kibuyu kilichojaa nyongo na pilipili kuwa mvumilia nyongo itapikwapo harufu yake inaweza kumtapisha Anae uguza pia,
Hasira zetu hazichagui Neno bora wewe umeanzisha Mada ya kututapisha nyongo zetu acha tutapike tu.
Kumbe huyu ni hatari sana?Najua P Mayalla una lengo la kuwa expose wengi zaidi. Hujaacha kile ulichomfanyia Kabendera.
Lengo lako ni comments kama hizo zitiririke hapa upeleke file huko.
Una roho mbaya sana, ila watu tu hawakujui.
Ukiwa mpiga filimbi Hata ki English kinapotea, is that Idd Amin's version of English?
Ni bora ungonyesha msisitizo Kwa kiiswahili chako!!
Mbona povu....ukiona hivyo hii comment sio kwa ajili yako..nimekaa nchi za Magharibi kwa miaka mingi...wakati wa baridiTurnkey, Shenz kabisa , hujui kwamba Corona inathili watu wa umri wote.
Pili hata ukipona kunauwezekano wa kuaribika kwa Baadhi ya organs za mwili kama figo na ini.
Unajua siyo tu kupata Corona bali athali zinazotokana na CODIV 19
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha matusi mkuu, hapa JF hatutukani, tunafahamu Kabendera kwamba alichomwa na Paskali Mayalla, usimtetee huyo Paskali ni nyoka
“Was exposed himself” siyo sahihi.Acha kuwa inferior
Kabendera was exposed himself, tena kwa makosa sio ya kiuandishi
Acha ujinga