Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

Nilikuambia jana, umetumwa humu jukwaani kutetea ccm/serekali, lakini una tatizo kubwa la kiuandishi hasa matumizi ya herufi H. Sio vibaya hao wanaokutuma wakupige msasa wa kuandika, au umtumie Polepole ahakiki propaganda yako mfu kabla ya kuitapika humu ndani. Pia kama huoni aibu rudi shule ukajifunze kuandika, tena uzuri sasa hivi hamna kisingizio maana elimu ni bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi

Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".

Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!

Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!

Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!

Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani

Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.

Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?

Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?

Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.

Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.

Mungu Ibariki Tanzania.

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Mkku nanukuu maneno ta askofu bagonza "ukimpiga MTU usimyime haki ya kulia"
Watu wengi wamepigwa ndo wanalia hivyo, wengine wanalia vizuri Ila wengine wanalia vibaya, ni haki yao, kulia

ni jukumu lako wewe mwandishi mkongwe kumweleza anayewapiga watu kwa kuwaonea kuwa wanalia vibaya acha kuwapiga
 
PASCHAL ulishawahi kuwaza hata siku moja kwamba muuwaji wa mawazo pale KATORO busanda nanani ulishawahi kujiuliza Azory gwanda yu wapi kangoye Benn saa nane nk ukishapata majibu mazuri nitag hapa unaendekeza ukabila mnoo Kama Mbona wasukuma tupo wengi Sana na hatuamini katika kunyanyasana wewe kama Kuna kitu unakifukuzia fanya hivyo kimya kimyaa Usitake wenzako waumie kisha wewe upate ukitakacho Usitake kutuchokonoa Tunayo mengi ya kusema ila tumekua Kama samaki majini punguza upoyoyo.
 
Mbona Al Kaaba imefungwa! Kweli virus wanafanya Al Kaaba ifungwe?
Naona huelewi hata unachokiandika.

Kaaba siku zote inafungwa haiwachwi wazi, hufunguliwa mara mbili tu kwa mwaka. soma...

The building is opened twice a year for a ceremony known as "the cleaning of the Kaaba." This ceremony takes place approximately thirty days before the start of the month of Ramadan and thirty days before the start of Hajj. The keys to the Kaaba are held by the Banī Shaybah (بني شيبة) tribe. Members of the tribe greet visitors to the inside of the Kaaba on the occasion of the cleaning ceremony. A small number of dignitaries and foreign diplomats are invited to participate in the ceremony. The governor of Mecca leads the guests who ritually clean the structure, using a broom.[82]

Chanzo: Kaaba - Wikipedia.
 
Wanabodi

Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".

Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!

Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!

Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!

Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani

Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.

Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?

Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?

Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.

Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.

Mungu Ibariki Tanzania.

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Pascal kwanza usimpe Mchaga hela akutunzie, pili watakao faidika na Corona na wanachekelea ni CCM ambao miaka minne wanafanya kampeni huku wakiwazuia wapinzani wao.

Tanzania tunafundishwa tuishi kwa chuki jambo jipya kwetu na huyo hajasema vibaya alichosema gharama kubwa zinazotumika kupambana na Chadema zielekezwe kwenye Corona na tunashuhudia kutokuwepo maandalizi yoyote kuipokea Corona kama majeshi yalivyokua yakijiandaa wakisikia Chadema itaandamana, huu ndiyo ujumbe wake.

Mgonjwa alazwa Mount Meru Arusha ahamishiwa Mawenzi Moshi vipimo vyapelekwa Dar es Salaam! Tumejipanga kuikabili Corona wataalamu wetu wamesambaa nchi mzima, kauli ya Waziri Mkuu siku ya nne Corona yatua nchini.
 
Wanabodi

Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".

Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!

Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!

Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!

Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani

Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.

Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?

Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?

Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.

Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.

Mungu Ibariki Tanzania.

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Mayalla Sikubaliani na huyo mtu anaeliombea taifa janga la Corona. Lakini naomba nikukumbushe Tanzania haiwezi kupata Corona kwa maombi ya mtu na pia haiwezi kujiepusha na Corona kwa maombi.
Kama ilivyokuwa kwenye ukimwi, tutajikinga na Corona ikiwa serikali tu itachukua hatua stahiki na wananchi wakatii na ku support juhudi za serikali

Pascal Mayalla umeongea vema kwakuwa hilo limekugusa zaidi. Unatuasa sote tusimame kama Taifa moja. Tuwe wazalendo. Kwakuwa Wapinzani wakiteswa wakiumizwa huwezi kuanzisha uzi kama huu.

Naomba nikuilize yafuatayo: Hivi unakumbuka janga la TETEMEKO kule Kagera? Unakumbuka tulisimama kama Taifa kuwasaidia wenzetu lkn cha ajabu Mkuu wa Kaya alijitokeza hadharani akiwatuhumu Waathirika wale kuwa kwanini kila JANGA ni wao tu? Je ulituunganisha kama Taifa kulaani ubaguzi ule wa wazi??

Muanzilishi na Mbaguzi ktk haya yote anajulikana lkn hakuna Uzalendo ktk kulikemea. Tuacheni unafiki wa kujificha nyuma ya uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi

Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa unakata mapema sana, by saa 9:00 usiku, usingizi umekata, hivyo huna jingine lolote la kufanya zaidi ya kushuka JF, ndipo unakutana na taarifa za Corona, usingizi unakata kabisa unakuwa full awake!, hivyo kushuka na makala hii "Kwa Maslahi ya Taifa".

Hii ni thread ya swali tu linalohusu uzalendo na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, nikiuliza, hivi mtu kama huyu ni binadamu mwenzetu au shetani? Anaombeaje ugonjwa wa Corona ufike nchini kwetu Tanzania ili kuikomoa serikali? Mtu kama huyu ni mzima kweli au ni mwendawazimu? Kuiombea nchi yako majanga, sio ni zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani huu?!

Hivi kweli kuna Watanzania wenzetu wenye akili zao timamu kabisa, kwa vile wao sio CCM hivyo wana chuki ya ajabu na serikali ya Magufuli mpaka kufikia hatua ya kuiombea nchi yetu majanga kwa kuomba janga la ugonjwa wa Corona litue nchini mwetu ili kuikomoa serikali kwa kuona jinsi itakavyo kabiliana nalo?!

Corona ikija, atakayeteseka ni serikali au ni mwana CCM pekee?!

Swali hili ni kufuatia nilikuwa nafuatilia thread fulani humu JF, nikakutana na mchango wa ajabu sana wa mwana jf fulani

Duh...!. Kweli is this what you wish for your beloved country Mama Tanzania?.

Huu sio zaidi ya uendawazimu? huu sio ni ushetani kabisa huu?

Pamoja na vitendo vya kiendawazimu na vya kishetani wapinzani wanavyotendewa na serikali yetu, kweli tumefikia kiwango cha Watanzania wenzetu kukosa utu na kugeuka wanyama kwa kuombea majanga yalikumbe taifa letu eti kwa sababu tuu kuna wendawazimu fulani serikalini wanafanya vitendo vya kiendawazimu na kishetani kwa wapinzani, hivyo sasa kuombea ushetani huu utokee kwa serikali yetu kuadhibiwa na janga la ugonjwa wa Corona? Hivi hii Corona ikiingia, atakayeathirika ni serikali ya CCM au ni Watanzania wote akiwemo mwendawazimu huyu?

Nasisitiza ule wito wangu wa siku zote kwenye hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye issues za kitaifa yakiwemo majanga mbalimbali, Watanzania tusimame pamoja kwa uzalendo, umoja, upendo na mshikamano na serikali yetu kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa, regardless political affiliations zetu, sisi Watanzania lets pray and stand as one against Corona.

Mungu tuepushie mbali hili janga la ugonjwa wa Corona.

Mungu Ibariki Tanzania.

Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Rejea
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Hao ni watu waliokata tamaa na kufilisika kimawazo Pascal,wasamehe bure,corona haiji Tanzania.Watapata wanaokaa na waliokaa Ulaya,Marekani,na East Asia ambako kuna hotspots za 5G.

Pascal sijui Trump naye tumuweke kwenye kundi gani,maana kasema Corona inaweza kuwa jambo jema kwa uchumi wa Marekani.
 
Kwa nini kuna waTanzania wamefika hapo? Kuwakamata na kuwaweka ndani ni sawa, ila tungetafuta chanzo kilichowafikisha hapo, tukashughulika nacho ingekuwa vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom