Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

That is what I particularly dislike: kwamba mtu aseme what I wrote was not clear.
Niseme tu,mwananchi hamjui mwanamtandao.
Uovu ukitokea mwananchi ataamua mwenyewe nani wa kumlaumu.
 
Kaka unaandika kama Haiku ya Kijapani katikati ya Wamakonde wa Msasani halafu unategemeaje Wamakonde na Waswahili wakuelewe?
 
That is what I particularly dislike: kwamba mtu aseme what I wrote was not clear.
Niseme tu,mwananchi hamjui mwanamtandao.
Uovu ukitokea mwananchi ataamua mwenyewe nani wa kumlaumu.
Wanamtandao tumeelekezwa mengi juu yao. Tunaendelea kufuatilia mikutano ya Polepole
 
Baada ya press ya leo ya Polepole ukosoma mwanzo mpaka mwisho wa maelezo ya Poppy hapa kuna kitu unakipata. Haya mambo sio mepesi kabisa.
 
Msg. yake ya leo,;29:8:25
Wale watu walipanda gari na Magufuli kutoka Mbezi lazima washughulukiwe.
 
Back
Top Bottom