Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Theory yake of how it happened ni kwamba Magufuli alipelekwa hospitali. Halafu akapata nafuu akarudishwa Mjengoni. Kule Mjengoni ndiyo akawa assaulted,labda kapewa false medication, halafu akarudi tena hospitali.
Kule hospitali, anasema walikuwepo madaktari wanne ambao mmoja wao alikataa kusign death report.
Anasema ni kazi ya Islamic terrorists ambao somehow walifanikiwa kufanya kolabo na Inside People.
 
Ndiyo maana nasema,it is obviously lies. Mod ondoa hii posting. Dismantle it.
 
Halafu baada ya Ile incident,Mkuu wa Mkoa wa Dar ,Kundecha,akabadilishwa,ingawa alikuwa newly- appointed, ndiyo kwanza kateuliwa.
 
Sasa nina hakika jamaa ana matatizo ya akili.
Haogopi kukamatwa.
Badala yake anasema hii namba yangu mpe Samia ili nilipwe hela milioni tatu na nusu ninazowadai ili niendelee na maisha yangu.
Sasa mimi Samia nitakutana naye wapi ili nimpe namba ya huyu jamaa.
Anasema "Mkataze Samia asiwasumbue Tundu Lissu na Gwajima. Awasamehe,kwa sababu hakuna mtu asiyefanya makosa. Hata mimi nikiyasema mambo yote waliyomtendea Magufuli,hapa mahali patakuwa hapatoshi.!"
Huyu jamaa nimeambiwa ana matatizo ya akili
Na pia yeye ananiambia amesoma mpaka darasa la saba tu. He is fifty years old.
 
Sasa nina hakika jamaa ana matatizo ya akili.
Haogopi kukamatwa.
Badala yake anasema hii namba yangu mpe Samia ili nilipwe hela milioni tatu na nusu ninazowadai ili niendelee na maisha yangu.
Sasa mimi Samia nitakutana naye wapi ili nimpe namba ya huyu jamaa.
Anasema "Mkataze Samia asiwasumbue Tundu Lissu na Gwajima. Awasamehe,kwa sababu hakuna mtu asiyefanya makosa. Hata mimi nikiyasema mambo yote waliyomtendea Magufuli,hapa mahali patakuwa hapatoshi.!"
Huyu jamaa nimeambiwa ana matatizo ya akili
Na pia yeye ananiambia amesoma mpaka darasa la saba tu. He is fifty years old.
Poppy Hatonn umeandika mambo mengi ambayo yameeleweka tofauti mwanzoni. Hapa ndio kuna umuhimu wa katiba mpya na nchi kwa ujumla cha kuanzisha kitengo cha uchunguzi wa maiti zote hata kama zilizikwa zamani. Kitengo kiongozwe na Pathologist au Toxicologist ambaye amebobea ili kuhakikisha utata kama uliouzungumzia unapungua
 
Hii ya mtu aliyepanda naye kwenye gari ni kama iliongelewa.

Hapo hapo Mheshimiwa alikuwa na ku note cha maandishi alichokilalamikia pale stend ya Magufuli.

Wenye akili kubwa tu wataokota chochote hapa
 
Poppy Hatonn umeandika mambo mengi ambayo yameeleweka tofauti mwanzoni. Hapa ndio kuna umuhimu wa katiba mpya na nchi kwa ujumla cha kuanzisha kitengo cha uchunguzi wa maiti zote hata kama zilizikwa zamani. Kitengo kiongozwe na Pathologist au Toxicologist ambaye amebobea ili kuhakikisha utata kama uliouzungumzia unapungua
Unakumbuka issue ya Sokoine famlia ilipoamua kuhamisha mwili? Na hii ni vile iliongelewa mara ajali mara risasi ! Unakumbuka issue ilisimamiwa na nani?
 
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.

Hii ndiyo msg yake.

Nitaongea mengi ya kusikitisha.

Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.

Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela, kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.

Wao ni Waislamu.

Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.

Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza, akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye TV.

Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.

Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.

Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.

Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.

Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
Kanywa kayoga
 
Nadhani hapa tunaweza kupata hitinisho la hii stori.

Ndugu zake yule jamaa wanasema huyu ana psychiatric problems. Ana matatizo ya akili na muda mrefu ameliwa anaongea haya mambo ya kijinga,mambo ya hizi hallucination.

Kwa hiyo hapa labda ni wakati mzuri wa kumuomba mod auondoe huu uzi,hizi posting zote aziondoe ili nisipate midnight knock on my door.
Nilikuambia kitambo tu unahakikishaje huyo mtu hakuzingui tu?
 
Nilikuambia kitambo tu unahakikishaje huyo mtu hakuzingui tu?
We ndio ulituma Ile video?
Uliposema pale alizungumza Ile spichi halafu baada ya hapo akakaa kimya milele inafanana sana na anavyosema huyu jamaa, kwamba matatizo yote yalianzia pale.
Exactly,we ndio uliotuma Ile video,ukasema hii ndio spichi yake ya mwisho halafu akafa baada ya wiki tatu.
Sasa, katika Ile spichi we kweli unamuona mtu wa kufa baada ya siku tatu?
Anasema msiwaonee machinga ina maana anategemea tena kuwaona machinga wanatendewa vema.
 
Poppy, Poppy Hatonn, huyo mtu ni wale mafundi wa kamati ya ufundi, alipewa kazi fulani ya ufundi kwa ahadi ya malipo manene, akakopa pesa kununua vifaa kazi, akaifanya kazi, baada ya kazi kukamilika, aliyempa kazi akamtosa mazima!

Baada ya kuelezwa wewe ni nani, anadhani unaweza kumsaidia kulipwa haki yake.

Huyo mtu ni issue, anapeleka issue nyeti kwa mtu mwingine ambaye nae ni issue akidhani utaweza kumsaidia.

Na huyo aliyemtumia mtu ambaye ni issue kupiga issues za kiufundi, akigundua jamaa anataka kuunguza picha, then.... ndio kama vile!.
Kiukweli.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
We Pascali ulielewa yule mtu anadai hela kabla mi sijastukia.
Na anamdai hela Mdada mwenyewe.
 
Kwanilivyoelewa kidogo…

1. Ugomvi wa Maghufuli na mtu ambaye walikuwa naye Mbezi.

2. Kuna mtu aliyepewa kazi ya kummaliza Magu, lakini hajalipwa mafao yake?

3. Kwamba kuna uhusinao kati ya kifo cha Magu na mzee Kibao?

4. Aliyezungumza kule Chatto kwenye mazishi kumsema Magu kuwa cd4 imeshuka ni suala la guessing. Lakini lazima ni muislam. Na pia kama siye waliyegombana kule Mbezi, basi wana husiana “Answar”

5. Kwamba huyo aliyempakazia Magu kuwa cd4 imeshuka kule kwenye msiba, ndo huyo huyo aliyepanga mipango ya kumuuwa. Hivyo aliyetumwa kufanya aliyoyafanya, akashangaa cd4 inahusikaje na kazi kafanya yeye na hajalipwa.

Kwa kifupi, watu wanaofahamu cycles za uongozi kwenye chama na serikali kwao kufahamu hao watu ni rahisi wanaweza kutufungulia code hapa kuhusu hao individuals.

Tuendelee kusoma…
Hiyo video ya cd4 mi sikuiona.
Lakini it is very important ,kwa sababu ilitangazwa kwanza,halafu ikaondolewa,ikatangazwa upya,kwa sababu Ile edition ya kwanza ilikuwa incriminating.
And the reason why it was incriminating, anasema,ni kwamba,in the background,wanasikika watu wanabishana," Asije akawekwa remand",remand nadhani ni rumande. Kwamba yupo mtu alikamatwa na alikuwa anakingwa asipelekwe rumande.
Kwa hiyo video ilibidi itengenezwe upya.
 
Baada ya kuzindua stand mbezi tulipanda daladala mpaka kivukoni, nilijiuliza watu mbona wanashangilia km vichaa kipindi hiki cha covid wanarukiana kama mahayawani,
Kumbe ndio ilikuwa siku ya mwisho kumuona baba tunda mfalme wa rhymes amabye soggy Doggy hamtaaki anamwita kobe hawezi mzidi mbio farasi
 
Back
Top Bottom