Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Anasema yeye alishangaa sana yule Ansar Sunna alipokuwa anatangaza kule Chato kwamba Magufuli alipungukiwa cd4. Anauliza,"Alipungukiwa vipi cd4 vipi wakati mimi niliona yale mambo yaliyotokea Mbezi? Ndiyo maana,pale Chato,siku Ile ya mazishi,Samia na wale wengine walikuwa wanamzuia yule Ansar Sunna asiongee maneno yale." Kwa hiyo hapa inakuwa kama vile kile keep fo kinasababishwa na hostility ya Waislamu, lakini ingawa nilimfanyia cross- examination,nilishindwa kupata hiyo connection.
Siku hizi divai tu walewa kutwa nzima mzee wangu!?.. kweli mfumo umejaa kilevi
 
Ansaar Sunna sijui ni nini, lakini yule mtu anapoongea kila mara anaitaja h Ansaar Sunna .

Nikitazama Google naona Ansaar Sunna inahusiana na makundi ya Ugaidi.

But this is impossible. Mara nyingi nimesikia Ansaar Sunna inasemwa bila kuishirikisha na Ugaidi. Kwa mfano utasikia inasemwa,"Ansaar Sunna wataswali Idd siku fulani"

But anyway that is how it is. Huyu jamaa somehow anawahusisha Ansaar Sunna na kisa cha Magufuli.
 
Hii ndio kazi ya AI, atatupangia hii ujumbe in a mtiririko way na kutuambia ujumbe unamaanisha nini. Probably anajua
 
Ansaar Sunna sijui ni nini, lakini yule mtu anapoongea kila mara anaitaja h Ansaar Sunna .

Nikitazama Google naona Ansaar Sunna inahusiana na makundi ya Ugaidi.

But this is impossible. Mara nyingi nimesikia Ansaar Sunna inasemwa bila kuishirikisha na Ugaidi. Kwa mfano utasikia inasemwa,"Ansaar Sunna wataswali Idd siku fulani"

But anyway that is how it is. Huyu jamaa somehow anawahusisha Ansaar Sunna na kisa cha Magufuli.
sawa tuendelee nipo na wewe hatua kwa hatua
 
Poppy,una vituko sana.Sijaelewa kitu kutoka kwenye hiyo sms/barua/waraka uliocharaziwa.
Kwanilivyoelewa kidogo…

1. Ugomvi wa Maghufuli na mtu ambaye walikuwa naye Mbezi.

2. Kuna mtu aliyepewa kazi ya kummaliza Magu, lakini hajalipwa mafao yake?

3. Kwamba kuna uhusinao kati ya kifo cha Magu na mzee Kibao?

4. Aliyezungumza kule Chatto kwenye mazishi kumsema Magu kuwa cd4 imeshuka ni suala la guessing. Lakini lazima ni muislam. Na pia kama siye waliyegombana kule Mbezi, basi wana husiana “Answar”

5. Kwamba huyo aliyempakazia Magu kuwa cd4 imeshuka kule kwenye msiba, ndo huyo huyo aliyepanga mipango ya kumuuwa. Hivyo aliyetumwa kufanya aliyoyafanya, akashangaa cd4 inahusikaje na kazi kafanya yeye na hajalipwa.

Kwa kifupi, watu wanaofahamu cycles za uongozi kwenye chama na serikali kwao kufahamu hao watu ni rahisi wanaweza kutufungulia code hapa kuhusu hao individuals.

Tuendelee kusoma…
 
Asante Meku
 
Tuwe makini pombe sio chai la sivyo utaandika vitu unavyoelewa mwenyewe kwenye jukwaa.
 
Anayedai ni huyu jamaa.
Kamdhuru mtu,sasa mbona hawataki kumlipa?
Wewe nadhani ulisema sawa. Maanake baadaye kasema anamyedai ni Magufuli.
Anasema alimsaidia sana kuwadhuru Asha Rose na January,ili Magufuli apate nomination, anasema,"lakini yule Msukuma hakuonyesha shukrani".
 
Magufuli aliwadhuru vipi January na Asha Rose wakati yeye uraisi alisukumizwa tu
 
Lakini anasema kwamba katika You Tube iliyotokea inasema Magufuli amekufa.

Halafu baada ya muda ikatokea video nyingine ( mtu yule,kavaa nguo zile zile anatangaza) "Magufuli yupo hospitali cd4 imeshuka"

Ndiyo anasema yule mtu aligombezwa akarudi kuweka video nyingine.

Bado nataka kumuuliza maswali. Lipo jambo analirudia sana,nimeshindwa kumuelewa. Anasema yupo mtu alikamatwa lakini okashindikana kabisa kumpeleka Central.

Labda baadaye nitaongea naye. Sasa naweza kunukuu hii msg. ambayo anasema:

"Huyu Majariwa,(Majaliwa), ni mambo alikuwa anayazungumza tokea alipoapishwa,kwamba yeye lazima awakabili Magufuli na Mkapa".

Mpaka sasa huyu,he has not started naming names.
 
Back
Top Bottom