Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Sisi Kanda ya Ziwa tunapenda watoto. Mimi nimetekeleza wito wa rais wangu Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni Yake au ni ya Wale Wazee wa..?!.Hao tisa wanaofahamika...hahaaa bagoshaa
Sisi kwetu tumezaliwa 8, na mimi pia tulipofikisha 8, tukapanga itoshe!, kufumba na kufumbua, kukaibuka kangine, tena kamekuja na Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P