Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Nadhani nimekosea kuisoma msg niliyopata.

Nadhani anasema katika Ile video ya tangazo la kifo cha Magufuli kama mtu alisikilza,ilisikika sauti inasema,"Asije akaremand ' ambayo labda ina maana,Asije akawekwa rumande.

Kwa hiyo lile tangazo likatengenezwa upya,na Ile sehemu ya "Asije akaremand" haikusikika katika tangazo la pili.
 
Hapa naona mambo ambayo sikuyaona mwanzo. Huyu jamaa kama nilivyosema ni illiterate. Lakini hivi ndivyo alivyoandika.

"Hao ni wahun(wahuni) maarikaida( Ma Al Qaida),huwasiliana kivyao ili wabaki peke yao, lakini alipanda gari na Magufuli,kama walimfikisha popote hana fahamu basi hao siyo watu wa kuachiwa"
 
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.

Hii ndiyo msg yake.

Nitaongea mengi ya kusikitisha.

Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.

Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela, kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.

Wao ni Waislamu.

Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.

Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza, akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye TV.

Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.

Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.

Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.

Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.

Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
Wakati Philipo alipomwomba Yesu awaonyeshe baba akajibu "Aliyeniona Mimi amemwona baba" (yoh 14:4-8) Hivi binadamu aweza kuyafanyia utafiti maneno ya Mungu kama ana imani?Tunapasa kuamini Yesu alikuwa na jinsi ya Mungu na binadamu ila alikuwa hajitangazi aliwachia wafuasi wake kuamua wenyewe. Ule utatu mtakatifu unadhibitisha Yesu ni Mungu kama ilivyo maji katika nafsi tatu yaani maji,barafu au mvuke vyote ni maji yaleyale.
 
Anasema yeye alishangaa sana yule Ansar Sunna alipokuwa anatangaza kule Chato kwamba Magufuli alipungukiwa cd4. Anauliza,"Alipungukiwa cd4 vipi wakati mimi niliona yale mambo yaliyotokea Mbezi? Ndiyo maana,pale Chato,siku Ile ya mazishi,Samia na wale wengine walikuwa wanamzuia yule Ansar Sunna asiongee maneno yale." Kwa hiyo hapa inakuwa kama vile kile keep fo kinasababishwa na hostility ya Waislamu, lakini ingawa nilimfanyia cross- examination,nilishindwa kupata hiyo connection.
Anwar Sunna ni mzee Ally Hassan Mwinyi ndo alikuwa anazuiwa kutoongea sana
 
I am still trying to unravel this. Inaelekea yupo mtu alifanya kosa la kimtandao na huyu mtu ndiye wsliyekuwa wanataka awekwe rumande. Huyu mtu alikuwa ameiba fedha mtandaoni na huyu mtu alikuwa Mujahidina. Lawama zote kuhusu hili tukio la Magufuli naona zinaelekezwa Misikitini. Ananipa namba ni cheki story yake na mtu mwingine. I will contact that person lakini kwanza he must give me more information.
 
Huu Uzi unaogopa hata kusema ni nini umeelewa maana unaweza kuta sio hicho.. aya twende tupo na wewe hadi uanze kutuletea updates zilizo open😂😂😂
 
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.

Hii ndiyo msg yake.

Nitaongea mengi ya kusikitisha.

Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.

Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela, kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.

Wao ni Waislamu.

Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.

Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza, akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye TV.

Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.

Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.

Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.

Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.

Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
Karma
 
Bado anasema vile vile,kwamba Mbezi ilitokea vurugu balaa. Hawa watu walipanda gari moja, walikuwa wanabishana sana.
Bado naifatilia hii habari.
 
Lakini hapa tumefikia critical point and I hope this fellow will be available for the next two or three days.
Kama anadhani aliwasaidia watu na anataka kuwapeksheni mifuko what is wrong with that?
 
Lakini hapa tumefikia critical point and I hope this fellow will be available for the next two or three days.
Kama anadhani aliwasaidia watu na anataka kuwapeksheni mifuko what is wrong with that?
Yupo sahihi
 
Sasa nimeelewa kwa kiasi flani, inamaana hayati hakua na walinzi au walikua wasaliti wake tayari
 
Back
Top Bottom