Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Writing yake ni unintelligible.

Lakini anasema vile vile,for the upteenth time now,kwamba yupo mtu habithi alipanda gari na Magufuli siku Ile Mbezi.

Anasema we will discuss it tomorrow and it will be clear to me.

Anasema walimdhulumu,kazi aliyowafanyia, nadhani ana maana kazi ya kumfanyia ufisadi January ili akose nomination,anasema walipaswa kumlipa sh.milioni tatu na lakini tano lakini hawakumlipa.

Anasema hata namba zake wanazo. Wamtext hizo hela hata sasa and he will drop this thing. Anasema right now he's living in dire straights.
 
Poppy unajuaje huyo mtu si muhuni tu anakuchezea akili?

Magufuli alifungua kituo cha mabasi Mbezi na kufariki siku hiyo?

Magufuli alifungua kituo February 24 2021 video hii hapa.

View: https://youtu.be/MCCxQ9p7mAs?si=IVxZe72Gu9uSJrir
 
Hapa everything is normal.
Yule mtu amesema ataongea leo. Nitamsikiliza.

Lakini nasikitika huyu mtu anasema,'kesho, kesho '. Hii itamtokea puani.
 
Unalishwa matango pori maana siku aliyofariki ni tofauti na siku aliyofungua stend mbezi
 
Anasema ukitaka niendelee na stori,nipe jina la dereva aliyekuwa anaendesha gari siku ile,halafu nitaendelea na stori.

Sasa wapo watu wengi nawaona hapa ambao najua wanamfahamu huyo dereva, lakini nikiwauliza hawawezi kuniambia.

Na yule dereva wa Rais most probably atakuwa dereva wa Ikulu.

Mi nadhani,kama watu walikuwa wanaendesha gari siku ile ( four years ago,Mbezi),wajue kuna mtu anawatafuta.

Wanasema we know who we are looking for,we just don't know where they are.

Sasa, nadhani this thing is out of my hands now, because it is going beyond danger.
 
Mnunulie safari mzee aendelee kukupa ubuyu
 
" Wote walipopanda gari na Magufuli,hao wahalifu,walichofanya,ni nilijionea mimi mwenyewe"
 
Anasema ukitaka niendelee na stori,nipe jina la dereva aliyekuwa anaendesha gari siku ile,halafu nitaendelea na stori.

Sasa wapo watu wengi nawaona hapa ambao najua wanamfahamu huyo dereva, lakini nikiwauliza hawawezi kuniambia.

Na yule dereva wa Rais most probably atakuwa dereva wa Ikulu.

Mi nadhani,kama watu walikuwa wanaendesha gari siku ile ( four years ago,Mbezi),wajue kuna mtu anawatafuta.

Wanasema we know who we are looking for,we just don't know where they are.

Sasa, nadhani this thing is out of my hands now, because it is going beyond danger.
Mh
 
Inaelekea ni tatizo limeletwa na watu wa Misikitini na huyu sasa anaogopa kuongea,anawaogopa hawa watu wa Misikitini.

Mimi pia naingia hofu kwamba hawa Wachungaji wengi feki tunaowaona wapata nguvu ikidhaniwa Waislamu walifanya njama fulani dhidi ya Taifa.

Bado natafuta kujua jambo gani lilitokea. Lakini ninavyofikiria ni kwamba pale mwanzo hali ya Magufuli ilikuwa mbaya. Alikuwa Waziri wakati ule, Waziri wa Unenzi nadhani na alikuwa na maadui wengi na alikuwa anakwenda chini. Watu wengi walikuwa wanamsakama, Daily News,kwa mfano, ilikuwa inamwandama sana. Halafu Sheikh Ponda,mambo yake ulikuwa hayamwendei vibaya,yalikuwa mabaya tayari,kwa sababu Sheikh Ponda alikuwa jela.
Kwa hiyo haikuwepo sababu yoyote ya Magufuli kuingia madarakani na kufanya persecution ya Waislamu.

Huyu jamaa bado anaogopa kuongea, lakini sijui anamlaumu nani
 
Bado anawasema Waislamu.
Anasema wampe hela anazowadai.
Anasema niwaambie wampe hela anazowadai,ingawa bado hajanieleza hao Waislamu nitawapata wapi.
Hela nilisema anawadai sh. Milioni tatu.
 
Back
Top Bottom