Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Vilaza waliozoea Umbea vumbi tuu unaambiwa.
Madishi hayasomani mpaka DK hizi..
Simba hanyatiwi.
 
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.

Hii ndiyo msg yake.

Nitaongea mengi ya kusikitisha.

Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.

Ugomvi wao ulikuwa yule aliyekamatwa asipelekwe jela,kwa sababu akipelekwa jela watamuweka rumande.

Wao ni Waislamu.

Yule mtangazaji akaenda kutangaza kwenye television. Akatangaza kwamba mtu fulani alikuwa ameshuka cd4.

Yule mtu akatangaza yale mambo.
Cha kushangaza,akarudi tena,amevaa vile vile kama kwanza,akayatangaza tena yale mambo kwenye tv.

Video ilionyeshwa lakini sehemu zingine ziliondolewa ama sivyo zingewaletea watu tuhuma nzito.

Mimi nimewafanyia kazi lakini mpaka Leo sijalipwa. Sasa hii inakuwaje,kwa sababu mimi nilikopa hela.

Nilimwambia( jina limehifadhiwa) awashughulikie.

Kuna mtu aliepanda gari pale stendi ya Mbezi,wamtafute yule mtu.

Huyu ananiambia tukutane anieleze zaidi, lakini mi naona I have heard enough.
Poppy, Poppy Hatonn, huyo mtu ni wale mafundi wa kamati ya ufundi, alipewa kazi fulani ya ufundi kwa ahadi ya malipo manene, akakopa pesa kununua vifaa kazi, akaifanya kazi, baada ya kazi kukamilika, aliyempa kazi akamtosa mazima!

Baada ya kuelezwa wewe ni nani, anadhani unaweza kumsaidia kulipwa haki yake.

Huyo mtu ni issue, anapeleka issue nyeti kwa mtu mwingine ambaye nae ni issue akidhani utaweza kumsaidia.

Na huyo aliyemtumia mtu ambaye ni issue kupiga issues za kiufundi, akigundua jamaa anataka kuunguza picha, then.... ndio kama vile!.
Kiukweli.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
 
Poppy, Poppy Hatonn, huyo mtu ni wale mafundi wa kamati ya ufundi, alipewa kazi fulani ya ufundi kwa ahadi ya malipo manene, akakopa pesa kununua vifaa kazi, akaifanya kazi, baada ya kazi kukamilika, aliyempa kazi akamtosa mazima!

Baada ya kuelezwa wewe ni nani, anadhani unaweza kumsaidia kulipwa haki yake.

Huyo mtu ni issue, anapeleka issue nyeti kwa mtu mwingine ambaye nae ni issue akidhani utaweza kumsaidia.

Na huyo aliyemtumia mtu ambaye ni issue kupiga issues za kiufundi, akigundua jamaa anataka kuunguza picha, then.... ndio kama vile!.
Kiukweli....
P
Hapo upo sahihi Mtoto wa late spy. Kwa nini udara haikukuchukua? Yaani mpaka Jeshini ukaenda!
 
Lugha za mawasiliano hzo hadi upewe code, hapa tutacheza "Migambo wanaluka na kukanyagana wanaluka kinyama tena wamesimama, aaah! wanacheka.
 
Nadhani ujumbe huu kaandikiwa mtu special mwenye kujua kufungua hizi codes,

Kuna mtu alipewa ujumbe ampelekee kamanda Mkuu jeshini bila kujua ujumbe uliandikwa, "kata kichwa Cha mbeba ujumbe tafadhali 🙏".

Sasa angefungua na kusoma ujumbe mapema, kichwa kisingekatwa!
Mbn kama unatuthimulia hadithi ya empress ki
 
Back
Top Bottom