mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,736
- 5,374
Uliempiga juzi hajakuvizia leo!??Nani mwingine hajaelewa bandiko kama mm
Uliempiga juzi hajakuvizia leo!??Nani mwingine hajaelewa bandiko kama mm
Haieleweki. Ni kama fragment imeokolewa kwenye moto.Aliyeelewa aje kunielewesha
😁😁Umewah kuingia kikao fulani hasa hivi vya watu wa nje ukakuta wanaongelea topic fulani very serious na wewe ukakaa mle kama bogi tu huelewi. Ndio mada hii ya leo sasa
Me nimeishia nusu tu nikaoja jau!Nani mwingine hajaelewa bandiko kama mm
Mi pia siielewi posting.Me nimeishia nusu tu nikaoja jau!
Ukikaa vibaya unajaa kwenye mfumoAnanitumia msg sasa hivi.
Anasema "Tulizana,stori ni ndefu sana
Siwezi kuongea sasa hivi. Nipo hapa na wambeya wengi.
Baadaye nitakueleza"