Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mkuu kuna wadada wanakaba hadi penati, yaani anataka ukiingia whatsapp uwe unachat nae, anadhani humu duniani unajuana na yeye tu. So kuokoa muda wa kuulizana, ficha last seen.
Ha ha ha ha umenifurahisha unaogopa bifu
ok! labda ukinijibu haya nitashukuru sana.
ni nini umuhimu wa last seen?
na faida zake ni zipi labda?
Mkuu kuna wadada wanakaba hadi penati, yaani anataka ukiingia whatsapp uwe unachat nae, anadhani humu duniani unajuana na yeye tu. So kuokoa muda wa kuulizana, ficha last seen.
Ivi last seen ni yangu au yake?
Unaficha ili iweje kwani...
We mbona ya kwako inaonekana....umeificha lini?
Aaah niliweka last seen ukiwa online picha inatangulizwa ukishawishika unapigwa mzinga
Kama uko huru ina shida gani?
Sio wanaficha last seen... mi nadhani wanajificha wakiwa online.
Unajificha ili usionekane!!!
Asante