Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Mkuu kuna wadada wanakaba hadi penati, yaani anataka ukiingia whatsapp uwe unachat nae, anadhani humu duniani unajuana na yeye tu. So kuokoa muda wa kuulizana, ficha last seen.

Kwa hiyo unaficha last seen kisa wadada?
 
Last seen info inaboa sana....ila sijaiondoa ninachofanya ni msimamo tu kwamba si msg zote za kujibiwa na wananielewa hivyo.

Safi... maana kujificha ninkuondoa uhuru wako
 
ok! labda ukinijibu haya nitashukuru sana.

ni nini umuhimu wa last seen?

na faida zake ni zipi labda?

Mtu akiona uko online anahamasika kukuandikia labda akuulize kitu. But ukiniaga unalala au unaingia kwenye mkutano baadae nikataka nujue kama ushaamka au ushatoka kwenye mkutano then last seen info inaweza kunipa clue...
 
Mkuu kuna wadada wanakaba hadi penati, yaani anataka ukiingia whatsapp uwe unachat nae, anadhani humu duniani unajuana na yeye tu. So kuokoa muda wa kuulizana, ficha last seen.

hahahaah aisee mkuu umeongea kwa msisitizo
 
Mbona najibu Viol....
we tangu juzi uko online, wabadilisha profile tu ila typing... sioni

Aaah niliweka last seen ukiwa online picha inatangulizwa ukishawishika unapigwa mzinga
 
Last edited by a moderator:
Je uhuru ni neno sahihi mkuu? sidhani bali kuna wakati mtu huitaji faragha "privacy"...

Yaani kuwa kwenye mtandao kwako unakufanya "faragha"?
 
N maamuz ya mtu we different kuna watu tunapenda privacy so ni haki yangu
 
Back
Top Bottom