Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu?
Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
 
Acha Tuone Ila Kuna Giants Simba, Yanga, Ambao Wapo Kwenye League Za Africa
 
Mzee, unachanganya mambo, uwanja wa Amaani huo ni mdogo sanaa, watu 15 tu,
Subiri wa 7 after bajeti viwanja vya Arusha na Dom vitaanza kujengwa
 
Utaisha 2027?
 
Utaisha 2027?
Sasa mzee uwanja ujengwe zaidi ya miaka mitatu? Halafu jua no way uwanja ungeanza kujengwa now kwa sababu hatukuwa na bajet ya viwanja hivyo hadi ilipopita bid ya AFCON
 
Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu?
Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
wa arusha ushaanza kujengwa na waturuki huku olmotonyi
 
Back
Top Bottom