maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania
Bila huyu mama kuondoka kwa hiari yake au hiari ya mwenyezi Mung Tanzania itaendelea kutumbukia shimoni tena kwa kasi ya kutisha ,Yaani amechokwa huyu mama mpaka na wanyama ingawa hawawezi kusema
Na siku ya kifo chake watu watafanya sherehe na ndiyo kawaida ya watu wabaya wanapokufa watu hufurahia