Mtu msomi ni nani?

Mtu msomi ni nani?

Acha dharau, shahada ni elimu ya juu siyo elimu ya kawaida. Mtu mwenye shahada ni professional kwenye field yake utamchanganyaje na mtu wa elimu ya secondary tu?
 
Watu hawapendi kusikia ukweli
 
Acha dharau, shahada ni elimu ya juu siyo elimu ya kawaida. Mtu mwenye shahada ni professional kwenye field yake utamchanganyaje na mtu wa elimu ya secondary tu?

Educated person

intellectual. noun. someone who is well educated and interested in art, science, literature etc at an advanced level.
 
Msomi ni mtu ambaye akili yake haijaharibiwa na shule anajifunza kulingana n mazingira na anaishi kulingana na mazingira ukienda shule tu wewe ni mjinga wazungu wanafuta maarifa ya asili tuliyopewa na mungu na kukariri Elimu ambayo Haina msaada Zaid ya makaratasi ndio maana utasikia wazee wa zaman walikuwa Wana akili japo hawakusoma

Tafakari: Mungu aliumba akili sio Elimu tumia akili yako katika mazingira sahihi na uwe msomi
 
Umenikumbusha 'banking approach, model of education'

Banking approach​

Freire (1968) introduced the 'banking' concept of education whereby he equated teachers with bank clerks and saw them as 'depositing' information into students rather than drawing out knowledge from individual students or creating inquisitive beings with a thirst for knowledge:
 
Msomi ni mtu ambaye akili yake haijaharibiwa na shule anajifunza kulingana n mazingira na anaishi kulingana na mazingira ukienda shule tu wewe ni mjinga wazungu wanafuta maarifa ya asili tuliyopewa na mungu na kukariri Elimu ambayo Haina msaada Zaid ya makaratasi ndio maana utasikia wazee wa zaman walikuwa Wana akili japo hawakusoma

Tafakari: Mungu aliumba akili sio Elimu tumia akili yako katika mazingira sahihi na uwe msomi
Ahaa.... Unamaanisha mbwa ukimfindisha kukaa juu ya kiti na akafanikiwa, tutasema mbwa ana akili na siyo mbwa kaenda shule siyo.. au nimekuelewa vibaya
 
Jamaa mbona unawadharau wenye degree zao wakati ndio wanaohudumu kwenye maofisi na sekta nyingi ambazo wewe unapata huduma,?

Au wewe usomi ni mpaka mtu agundue kitu,??
Kama ni matatizo ya jamii wasomi wengi tu wenye degree wanayatatua.
 
Back
Top Bottom