Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira?
Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili...
Mungu awabariki..
Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili...
Mungu awabariki..