Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

Kuna msela bongo yani yuko hivyohivyo ulivyojielezea. Nimemuachia ghetto langu la nguvu kunilindia. Ni msafi, hatoki toki nje hana time na madem. Ila anapenda kuangalia TV sana. Mazingira ya ghetto kayaweka safi. Hana marafiki na kila baada ya wiki mbili namtumia laki mbili. Na ghetto langu lina cctv naona current affairs mubashara. Ni ngumu bongo kupata mtu muaminifu kama huyu. Nimebshatika
Unamla??? samahan lakin
 
1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu

2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka

3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu

4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu

5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali

6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi

7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa

8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo

9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6

10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?

11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena

12.

Sijui haya yanasababishwa na nini?
Unambotwa??;;!!! samahan lakin
 
Moderator tunaomba jibu #9 na #14 utuwekee chini ya post Namba moja, maelezo yake yanajitosheleza.
 
Wasikupambe wala ni mara ooh umepevuka mapema sijui nini hakuna kitu hapo, angalia dogo utakuja kuwa shoga hebu jichanganye na wana kitaa ili ujifunze maisha. Kisa una laptop basi unajiona mzungu fulani eenhe?
 
1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu

2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka

3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu

4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu

5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali

6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi

7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa

8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo

9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6

10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?

11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena

12.

Sijui haya yanasababishwa na nini?
Kawaida tuu, wewe ni msafi, una misimamo yako na discipline yako
 
Mimi pia nipohivyohivyo laptop na mimi ila sasa mimi sishughuliki nikikaa sehemu na pc sinyanyuki mpaka njaa inishike sina marafiki hata 6 sifikishi na demu sina
 
Back
Top Bottom