Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Majukumu ya lazima, bado kuwa mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TaaawireDaaa hii nchi ishakuwa ya kipumbavu sana maana si kwa kumtukuza hivi Shetwani.
Inawezekana vipi kila Mtu akija humu kuelezea utofauti wake wa mtindo wa maisha basi anawaza kurogwa tu(uchawi)?
Kwanini asiwaze kubarikiwa(neema/baraka)?
Au wazee wa kazi aka waganga 🤣🤣🤣🤭🤭Huna demu, una marafiki hawazidi 6. Huwa unachat na nani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeangaliziaUmerogwa.
Unamla??? samahan lakinKuna msela bongo yani yuko hivyohivyo ulivyojielezea. Nimemuachia ghetto langu la nguvu kunilindia. Ni msafi, hatoki toki nje hana time na madem. Ila anapenda kuangalia TV sana. Mazingira ya ghetto kayaweka safi. Hana marafiki na kila baada ya wiki mbili namtumia laki mbili. Na ghetto langu lina cctv naona current affairs mubashara. Ni ngumu bongo kupata mtu muaminifu kama huyu. Nimebshatika
Unambotwa??;;!!! samahan lakin1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu
2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka
3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu
4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu
5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali
6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi
7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa
8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo
9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6
10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?
11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena
12.
Sijui haya yanasababishwa na nini?
Kawaida tuu, wewe ni msafi, una misimamo yako na discipline yako1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu
2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakat wenzangu kitu kidogo tu washachoka
3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu
4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku mim nafanya tu
5. Sipend uchaf nikiona uchafu nauondoa, naweza nikafanya hivyo kwa kujitakia tu lakin wanaonizunguka hawajali wao hiki kikiwa vile vile vikiwa hiv hawajali
6. Siangalii tv wala nin mimi na laptop, laptop na mimi
7. Nikitumwa hata sokon hata kununua kun naenda tu sijui nimerogwa
8. Sina demu wa mchumba, nipo tu nikipna jamaa anauliza vip una dem aise urafik wetu unaishia hapo
9. Sina marafiki wengi, nilionao hawazidi 6
10. Wikiend natulia ndan nachat na kulala tu mpaka wanajiuliza huyu jamaa vip?
11. Nikikuta unasimulia habari zangu kwa watu, siongei wala kukaa na wewe tena
12.
Sijui haya yanasababishwa na nini?
Mimi pia nipohivyohivyo laptop na mimi ila sasa mimi sishughuliki nikikaa sehemu na pc sinyanyuki mpaka njaa inishike sina marafiki hata 6 sifikishi na demu sina1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu