Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Swali langu nimeuliza kutokana na nadharia ya “Creation theory” inayo wataja Adam na Hawa kwamba ndio waanzilishi wa watu duniani [ watu wa kwanza kuwapo hapa duniani ]. Kama unaweza kutoa majibu kwa msingi wa dini yoyote pia naruhusu ila jikite na mada zaidi [ mzungumzie mtu mweusi ].
 
Ajabu swali kama hili huwezi pata jibu. Na sababu zipo za kutosha tu.
1. Kusema Adam alizaa watoto weupe na
weusi haiwezekani.
2. Kusema walizaliwa weupe
wakatawanyika huko na kule na
kubadilika rangi, sijui. Labda kwa
miujiza.
3. Kusema kulikuwa na Adam kadhaa
weupe kwa weusi, hakuna mahali
imeandikwa.
4. Hoja ni nyingi. Lakini ili kutunza heshima
za vitabu na hao weupeweupe kuhoji ni
kama kukufuru!
5. Ukweli utabaki ukweli tu. Japo ukweli
wenyewe hatuja upata.
6. Wengine watakwambia, shida ni nini
wakati una uhai. Sawa, lakini ni muhimu
pia kukiri lipo ombwe mahali.

Akili ya binadamu huwezi izuia kuhoji kuwepo kwake duniani. Binadamu atakosa majibu lakini swali linatamalaki.
 
Fuvu la binadamu wa kwanza kuishi duniani, linapatokana Olduvai Gorge. Hii ni kwa mujibu wa historia. Hivyo binadam wa kwanza labda alikuwa mtu mweusi tena Mtanzania.
 
Kwa hiyo swali 4 , mzungu kwa mzungu wanaweza kuzaa mtu mweusi mfano kama Baloteli ?
 
Fuvu la binadamu wa kwanza kuishi duniani, linapatokana Olduvai Gorge. Hii ni kwa mujibu wa historia. Hivyo binadam wa kwanza labda alikuwa mtu mweusi tena Mtanzania.
Alikuwa ni mtu wa kwanza kwa upande wa watu weusi au ni kwa watu rangi zote duniani ?
 
Sawa Asante. Kwa hiyo ni ngumu sana kupata majawabu sahihi ?
 
Mkuu naomba kukuuliza wewe k2wmba kwani adamu alikuwa mzungu(mtu mweupe) ?

Kama alikuws mzungu ni kwa mujibu wa maandiko gani ?
 
Mkuu naomba kukuuliza wewe k2wmba kwani adamu alikuwa mzungu(mtu mweupe) ?

Kama alikuws mzungu ni kwa mujibu wa maandiko gani ?
Adamu na Hawa kwa mujibu wa tafiti mbalimbali hakuwa mzungu bali mtu wa mashariki ya kati ambapo watu wake sio wazungu.

N.b Sio kila mtu mweupe ni mzungu kuna watu wa mashariki ya Kati na mashariki ya mbali nao pia ni weupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…