Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Adamu na Hawa kwa mujibu wa tafiti mbalimbali hakuwa mzungu bali mtu wa mashariki ya kati ambapo watu wake sio wazungu.

N.b Sio kila mtu mweupe ni mzungu kuna watu wa mashariki ya Kati na mashariki ya mbali nao pia ni weupe.
Mantiki yangu kila mtu mweupe ndio mzungu,so mhindi,mchina,mjapani kwangu wote wazungu kwa sababu ni weupe wa ngozi.

Okay kwa kuwa umeshatujibu kwwmba kwa mujobu wa tafiti mbalimbali adamu alikuwa ni mtu mweupe.

Ila kuna tafiti zinaashiria kwamba adamu ni mtu mweusi hakuwa mweupe kama wahindi wchina na wajapani. ?
 
Kwa hiyo watu weupe walitokea wapi ?
 
Huwa nashangaa sana mpaka karne hii kuna watu wanaamini uongo ulioandikwa kwenye biblia.

Inasikitisha sana.
 
Hapo kuna mambo ma 2.. la kwanza kuna imani zile za kidinii na la 2 kuna imani zile za ki historia ambazo tumesoma p/r, Sec, mpka universty bt zitabaki imani zetu mioyoni mwetu... kuna majibu mengi apo kutokana na kile tulucho amonishwa katika nyanja tofautii
 
Wewe adamu na hawa alizaa watoto wenye rangi nyingi tuu. Mi nafahamu weupe, wekundu na weusi.

Hawa wekundu waliuliwa wote na wazungu huko kwao Amerika kaskazini.

Weusi tulinusurika.

Au pia sisi ni watoto wa yule aliyelaaniwa na Nuhu, inaonekana baba yetu alimkuta nabii Nuhu kalewa yupo uchii akamchekaa sana, so uzao wake ukalaniwa
 
Rejea swali namba 4 alafu naomba majibu yake ?
 
Hapo kuna mambo ma 2.. la kwanza kuna imani zile za kidinii na la 2 kuna imani zile za ki historia ambazo tumesoma p/r, Sec, mpka universty bt zitabaki imani zetu mioyoni mwetu... kuna majibu mengi apo kutokana na kile tulucho amonishwa katika nyanja tofautii
Wewe kwako jibu la moja kwa moja hauna?
 
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.

Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili
taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?

2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?

3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?

4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?

N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Elewa hapa, kama kuna kitu mzungu alifanikiwa kutu danganya wa afrika ni kwamba Adam and Eve walikua wazungu, hapa ndo mzungu alituwai akili.

Nilipo jaribu kujifunza funza ni kwamba Adam and Hawa hawakua wazungu au wa Africa.
Am standing to be corrected.
 
Mimi nilipoanza kujiuliza swali hili nilianza na wangapi walikua watoto wa Adam na Hawa? Je! Jina Hawa lilikua na maana ipi? Ukiangalia mukhtadha wa maswali yako lazima utarejea kwenye vitabu vya kiimani kulingana na dini uliyopo maana kote vitabu vimesimulia kila kitu ni wewe kusoma na kuelewa

Mfano: ukisoma kitabu cha Mwanzo ambacho kimeandikwa na Musa utapata kuona Adam na Hawa baada ya kutenda dhambi ya kufanya kinyume na maelekezo ya Mwenyezi-Mungu na kufukuzwa kwenye Bustani ya Eden walifanikiwa kupata watoto wengi na kati ya hao wanaosimuliwa kwa kuanzia ni wawili ambao ni Abeli na Kaini, baada ya Kaini kumuua nduguye basi Adam na Hawa walipata mtoto mwingine aitwaye Sethi na Sethi ndie aliendeleza uzao wa Adam pamoja na kwamba Adam na Hawa walikua na watoto wengine na ukisoma Bible inaeleza kwamba Adam alikua na watoto wapatao 80 wakati wa uhai wake, Sethi mwana wa Adamu ndie aliendeleza ukoo wa Adam mpaka kufika kwa Nuhu ambae alimpendeza Mungu na Nuhu akaendeleza mpaka kwa Abrahamu....

Maelezo ni mengi ukitaka kujua vizuri anzia kusoma kuhusu watoto wa Nuhu ambao ni Ham, Shem na Yafeti sasa soma kuhusu watoto wa Ham hapo utamkuta Kushi (Ethiopia) na Puti (Libya), hayo maeneo yameandikwa kwenye Bible jaribu kusoma utapata mwanga, kisha fuatilia kwa undani maana ya Cush (dark-skinned person of African descent) utapata mwanga zaidi
 
Adamu na Hawa kwa mujibu wa tafiti mbalimbali hawakuwa wazungu bali watu wa mashariki ya Kati ambao ni weupe mfano waarabu, wajameni , wayaudi n.k turudi kwenye swali Mtu mweusi ni uzao wa Nani ?
 
Mimi nilipoanza kujiuliza swali hili nilianza na wangapi walikua watoto wa Adam na Hawa? Je! Jina Hawa lilikua na maana ipi? Ukiangalia mukhtadha wa maswali yako lazima utarejea kwenye vitabu vya kiimani kulingana na dini uliyopo maana kote vitabu vimesimulia kila kitu ni wewe kusoma na kuelewa

Mfano: ukisoma kitabu cha Mwanzo ambacho kimeandikwa na Musa utapata kuona Adam na Hawa baada ya kutenda dhambi ya kufanya kinyume na maelekezo ya Mwenyezi-Mungu na kufukuzwa kwenye Bustani ya Eden walifanikiwa kupata watoto wengi na kati ya hao wanaosimuliwa kwa kuanzia ni wawili ambao ni Abeli na Kaini, baada ya Kaini kumuua nduguye basi Adam na Hawa walipata mtoto mwingine aitwaye Sethi na Sethi ndie aliendeleza uzao wa Adam pamoja na kwamba Adam na Hawa walikua na watoto wengine na ukisoma Bible inaeleza kwamba Adam alikua na watoto wapatao 80 wakati wa uhai wake, Sethi mwana wa Adamu ndie aliendeleza ukoo wa Adam mpaka kufika kwa Nuhu ambae alimpendeza Mungu na Nuhu akaendeleza mpaka kwa Abrahamu....

Maelezo ni mengi ukitaka kujua vizuri anzia kusoma kuhusu watoto wa Nuhu ambao ni Ham, Shem na Yafeti sasa soma kuhusu watoto wa Ham hapo utamkuta Kushi (Ethiopia) na Puti (Libya), hayo maeneo yameandikwa kwenye Bible jaribu kusoma utapata mwanga, kisha fuatilia kwa undani maana ya Cush (dark-skinned person of African descent) utapata mwanga zaidi
Kwanza wacha nikusahihishe
mosi mimi sio muumini wa dini yoyote hapa duniani[ kiufupi sina dini ] pili mimi sijauliza swali kwa misingi ya vitabu vya kiimani vya wakristo bali nimeuliza swali kutokana na nadharia ya “ Creation Theory” inayowataja Adam na Hawa kwamba wao ndio waanzilishi wa uwepo wa watu wote hapa duniani na hii nadharia ndio iliyo zaa maswali yangu.
 
Useless fact
 
Usihangaike sena,Mkuu

Kwa mujibu wa kitabu cha Quran sura 15 aya ya 28(al hijr 15:28)..

MwenyeziMungu(allah),Alimwambia Muhammad:-

"ewe Muhammad unakumbuka nilipowambia Malaika kuwa nitamuumba Binaadamu kutoka katika udongo MWEUSI wa ufinyazi,ambao huleta sauti pale unapokauka"...

Aya inaonyesha wazi kuwa binadamu wa mwanzo alikuwa mtu mweusi,Adam alikuwa mtu mweusi..

Sura inaendelea kuwa, baada ya Mungu kumuumba kiumbe hicho chenye rangi nyeusi,aliwambia Malaika wamsujudie

Kwa mujibu wa Quran,HAWA ametoka kwenye ubavu wa kushoto wa Adam,kwa maana hiyo Hawa nae alikuwa binaadam mweusi..

Hiyo ndio sayansi ya Quran,huo ndio ukweli wa mambo

Kitaalamu kutoa rangi nyeusi unaweza kutoa rangi yoyote ile..
 
Kwa mujibu wa ninavyoelewa

1.Ndio! Mtu mweusi ni uzao wa Adamu na hawa (Adamu na hawa ndio baba na mama wa wanadamu wote tuna itwa Bin-adam ikimaanisha kua tumetoka kwa Adamu)

2.Wakati dunia inaumbwa walikuepo adamu na hawa pekee bustanini edeni (inasemekana ni huko mashariki ya kati). Watu walitawanyika na kufika Afrika ni baada ya machafuko ya Lugha katika mnara wa babeli.

3.Uzao wa umtu mweusi ni kutoka nje ya Africa! Inasemekana katika wale watoto watatu wa mzee Noah kupitia kwa yule mdogo ndipo waafrika tulitokea kwake, yule mkubwa alizaa wazungu na yule wa kati alizaa wa asia.

4.Biologically haiwezekani!! May be ifanyike twisting ya DNA (Sina hakika na hili)

I stand to be corrected!!!
 
Back
Top Bottom