Bwana Bure
Senior Member
- Aug 12, 2022
- 101
- 112
Wapi ilipowataja 'Adam na Hawa' kwenye hicho kitabu na kimeandikwa na nani? Toa rejea za kutoshaKasome topic kwenye biology inayozungumzia creation theory na evoulution theoory.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi ilipowataja 'Adam na Hawa' kwenye hicho kitabu na kimeandikwa na nani? Toa rejea za kutoshaKasome topic kwenye biology inayozungumzia creation theory na evoulution theoory.
Kuwa mamilioni ya miaka inazuia vipi kuthibitika?Hahaha...
You are what you eat..
Nenda kaishi greenland,usipate jua,halafu uwe unakula samaki tu utaona kama ngozi yako na muonekano wako na utakachokizaa hakitobadilika..
Mkuu,hizi nazaria(theory),ni matokeo ya milioni ya miaka ..
Mkuu sasa huu unapoelekea utakuwa ni mchezo wa watoto wakati sisi ni watu wazima . Nimekwisha kutajia creation theory inapatikana katika vitabu vya History, Biology , Geography unaweza ukaandika hata mitandao ukajifunza zaidi .Wapi ilipowataja 'Adam na Hawa' kwenye hicho kitabu na kimeandikwa na nani? Toa rejea za kutosha
Wewe sema ulipotoa hayo majina ya 'Adam na Hawa' ni wapi weka na rejea zako, acha kuukwepa ukweli unarukaruka nini?Mkuu unataka nadharia ya Creation Theory au unataka maisha yote ya Adam na Hawa yaelezewe kwenye kitabu cha Historia na Jiografia ?
Onyesha ni kitabu kipi kati ya hivyo ulivyovitaja na mwandishi yupi alieandika kuhusu 'Adam na Hawa' namaanisha taja jina la Kitabu na mwandishi wa kitabuMkuu sasa huu unapoelekea utakuwa ni mchezo wa watoto wakati sisi ni watu wazima . Nimekwisha kutajia creation theory inapatikana katika vitabu vya History, Biology , Geography unaweza ukaandika hata mitandao ukajifunza zaidi . Ili kuepesha huu mjadala kwenye nje ya lengo lililo kusudiwa.
Sawa umeshinda [emoji120]Onyesha ni kitabu kipi kati ya hivyo ulivyovitaja na mwandishi yupi alieandika kuhusu 'Adam na Hawa' namaanisha taja jina la Kitabu na mwandishi wa kitabu
Weka mistari ya biblia inayosema hivyo,biblia gani hiyo???Asili ya Mzungu ni mchanganyiko wa binadamu na alliens wakiwemo majini. Ukisoma biblia waliitwa majitu uzao wa malaika waliofanya ngono na wanawake wa kibinadamu waliokutwa uchi wakioga mtoni wakazaliwa majitu.
Nimekuthibitishia kwa kukufahamisha nini kimetokea Ireland na DenmarkKuwa mamilioni ya miaka inazuia vipi kuthibitika?
Mabadiliko ya hali ya hewa,kawa Mweusi sababu ya kupigwa jua.Je asili ya mtu mweusi ni nini?
Tunda ni kwamba Hawa aling'atwa na nyoka pia akaenda kumpa Adam nae ang'ate, imeisha iyoNi tunda gani hilo alilokula na wapi alipolilia hilo tunda Afrika au nje ya Afrika ?
Hiyo ni story kutoka kijiwe cha ma Rastamani a.k.a wakushiBila shaka huo ni mtazamo wako ila hakuna ukweli wowote.
Nadhani unafaham ama ushawahi kumskia malikia wa Sheba kutoka Ethiopia,
Malkia wa Sheba alizaa na Mfalme Suleman, mtoto aliitwa Meneliki wa Kwanza naye akamza Menelik II, Menelik II akamzaa Haile Sellasie
Swali je hao wote walikuwa watu weupe na ikumbukwe Suleman ni uzao wa Daudi generation ya Baba wa Iman Ibrahim.
Ungesema habar za Evolution kibiologia angalau ungekuwa unaelekea kweny fact japo hakuna empirical evidence.
Cain na Abeli sio watoto wa Adamu, ila Cesi ndo mtoto wa kwanza wa Adamu according to the bibleNgozi nyeusi imetoka kati ya watoto wake wawili Cain na habil.mmoja alikuwa mweusi.
Sawa .Nimekuthibitishia kwa kukufahamisha nini kimetokea Ireland na Denmark
Kwani watu weupe hawapigwi na jua huko kwao Ulaya ?Mabadiliko ya hali ya hewa,kawa Mweusi sababu ya kupigwa jua.
Hata weupe wakikaa mda mrefu afrika weupe wao uanza kufifia so kitendo hiki cha mabadiliko ya rangi ni cha miaka.Kadri watu wanavyozidi kurudi chini ya ikweta ndivyo uzidi kuwa weusi
Au nenda Nungwi ukaone vipi rangi za ngozi za Wazungu zinavyobadilka kwa jua la Afrika 🙂😂😂Sawa .
Jua la afrika ni hatariKwani watu weupe hawapigwi na jua huko kwao Ulaya ?
Kama angelitokana na jamii ya rangi nyingine, Basi asingelikuwa mtu mweusi.Sawa wewe kwa upande wako mtu mweusi katokana na jamii yake yenyewe ya watu weusi au katokana na jamii ya rangi nyingine?
SawaKama angelitokana na jamii ya rangi nyingine, Basi asingelikuwa mtu mweusi.
Hiyo ni story kutoka kijiwe cha ma Rastamani a.k.a wakushi
Mzee kuna maarifa ya kila siku (inayoangalia vizazi 2.-4) na kuna maarifa ya sayansi inayopima habari za karne na milenia. Mabadiliko hutokea polepole.Je wazungu wakikaa Afrika na wakajamiana baina ya Wazungu kwa wazungu mtoto atakaye toka hapo atakuwa mweusi mfano Kama Mangala ? Na je Weusi wakienda kuishi ulaya na waka jamiana weusi kwa weusi mtoto atatoka mweupe mfano Kama Billget ?
N.b Rejea swali namba 4.