DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
- Thread starter
- #101
Sawa.Mzee kuna maarifa ya kila siku (inayoangalia vizazi 2.-4) na kuna maarifa ya sayansi inayopima habari za karne na milenia. Mabadiliko hutokea polepole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Mzee kuna maarifa ya kila siku (inayoangalia vizazi 2.-4) na kuna maarifa ya sayansi inayopima habari za karne na milenia. Mabadiliko hutokea polepole.
Anhaa sawa . Je alikuwa ni mtu wa rangi gani ? Na kipi kilipelekea uzao wake kuleta watu wa rangi tofauti ?
Ibrahimu si mweusi ni uzao wa shemu ambao umepelekeaJe wafahamu kuwa abrahamu au ibrahimu ni mweusi.
Adamu na hawa hawajawai kuwepo habari zao ni story tuAwali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Inaaana watu weusi wakienda ulaya watazaa wazungu? Hivi vitu ni vya kukaririshwa tu.Naona kuna majibu ya aina mbili hapa,
1: wanajibu kibinadamu nje ya imani
2: wanaojibu kupitia imani zao
Kupitia imani pia imegawanyika kulingana na madhehebu yao na namna walivyofundishwa
1: kupitia biblia
2: kupitia quran
Ngoja niwapitishe kidogo hapa
Mwanzo 9 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.
¹⁹ Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
²⁰ Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
²¹ akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
²² Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
²³ Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
²⁴ Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
²⁵ Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
²⁶ Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.
²⁷ Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.
Kwa context hiii leo tuulizane nani mtumwa wa mwenzake?
1: mzungu
2: Asia
3: mwafrika
Jibu ni mwafrika
Mwafrika ni uzao wa hamu ulilaanika ukasambaa kusini hata afrika
Kuhusu rangi
Tujiulize hili, ukikaaa bonde la usangu jua linawaka balaa badala kuwa mweupe unaanza kuwa mweusi,
Pili kwa nini watu wanaoishi sana ukanda wa ikweta wengi ni mablack sanaaa, kadiri unavyoenda kaskazini zaidi au kusini zaidi watu huanza kuwa weupe mfano mabushmen kule south ila uje zambia cameroon hawa mabantu ni mablack usipime
Swali
Je rangi inaendana na hali ya hewa?
Maana miaka mingi nyuma jamii ya waafrika ilikuwa ni misri, libya, ethiopia ukanda wa kaskazini kwingine hakukuwa na watu, ila walianza sambaa baadaye kupitia magharibi na kaskazini mfano wabantu, kalamajong wahadzabe, wairaq n.k wakasambaa kusini,
Najaribu kufikiria kuwa laana ya hamu kumchungulia baba yake imetuleta huku uafrikani uliochangiwa na hali ya hewa ukanda wa ikweta jua ni kali sana ili kumaintain mazingira ngozi lazima ibadirike,
Nenda maeneo ya bonde la usangu hata wazungu hupoteza ile ngozi yao ya asili kabisa na kuanza kuwa ngumu[emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi Adam na Hawa walikuwa wazungu? Waarabu au jamii ya wachina, wahindi au WaafrikaKwa hiyo ni sahihi kusema mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa mtu mweusi [ mwafrika ] mwenyewe na sio Adamu na Hawa ?
Hao kina Adam na Hawa Hawakuwahi kuwepo....ni stori TU za kipumbavuHivi Adam na Hawa walikuwa wazungu? Waarabu au jamii ya wachina, wahindi au Waafrika
Hakika...Anajua aliyetuumba
Ndiyo SHakika...
Kwanini unasema sio uzao wa Adamu na Hawa? Kwani nini kilithibitisha kwamba Adamu na Hawa walikuwa weupe?Kwa hiyo ni sahihi kusema mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa mtu mweusi [ mwafrika ] mwenyewe na sio Adamu na Hawa ?
Kwani wewe una uhakika gani kama Adam na Hawa hawakuwa weusi?Kwa hiyo ni sahihi kusema mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa mtu mweusi [ mwafrika ] mwenyewe na sio Adamu na Hawa ?
Creation theory katika vitabu vya masomo kama hayo uliyoyataja hakuna sehemu vinataja binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam na Hawa!Mkuu Nadhari ya “ Creation Theory” hii unaipata katika masomo mbalimbali ikiwemo Geography, History, Biology na sio katika vitabu tu vya kiimani vya kikristo na kiislamu .
Na swala la mimi kutokuwa na dini hayo ni maamuzi yangu binafsi amabayo hata wewe na mtu yoyote yule hapa duniani hawezi kuyabadali yapo hivyo na yata endelea kuwa hivyo. turudi kwenye maswali yangu Kama utakuwa na majawabu karibu kutoa majawabu yako na kuyatetea.
Wangekuwa ndugu zako basi ungekuwa na wajomba Asia na ulaya, acha ujinga ruhusu akili ifanye kazi, tangu lini mzungu kwa mzungu wakazaa jitu leusi tii?Watu wote duniani ni ndugu sabb wazazi walikuwa ni adama na eva
Maana yake?Kibaiolojia ni kwamba haiwezekani mtu mwenye rangi nyeupe kumzaa mtu mwenye rangi nyeusi anapofanya sex na mtu mweupe.
Never