Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Kwa nini umeweka hii N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi ??
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.

Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.

Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?

2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?

3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?

4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?

N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
 
Quran inasema mtu wa mwanzo duniani alikuwa mweusi,Science inasema mtu wa mwanzo katokea Afrika,..Afrika ni ya watu weusi

Hapo Dini na Science zimekubaliana, mazingira na chakula ndiyo yanayomfanya mtu abadilike
Unauhakika wale wamwanzo Africa walikua ni binadamu
 
izi bible na kuruani tumepigwa bro, nikikaa kushangaa races zote duniani kama wachina, wahindi, waafrika, wazungu, waarabu wote hatufanani kwa muonekano, sasa nin ilikuwa chanzo cha races kubadirila na kwanin sasa ivi hakuna races nyingine mpya kama wasemavyo kutokana na kubadirika kwa mazingira,

black man anazaliwa urusi adi anazeeka urusi lakin rangi yake haibadiriki adi anakufa, mzungu anazaliwa Africa lakin habadiriki kuwa black ad anakufa
 
izi bible na kuruani tumepigwa bro, nikikaa kushangaa races zote duniani kama wachina, wahindi, waafrika, wazungu, waarabu wote hatufanani kwa muonekano, sasa nin ilikuwa chanzo cha races kubadirila na kwanin sasa ivi hakuna races nyingine mpya kama wasemavyo kutokana na kubadirika kwa mazingira,
black man anazaliwa urusi adi anazeeka urusi lakin rangi yake haibadiriki adi anakufa, mzungu anazaliwa Africa lakin habadiriki kuwa black ad anakufa
Hapo ndipo pana leta mkanganyiko mkubwa .
tumblr_nyk2q0bX461qasnrqo1_1280.jpg
handsome-young-asian-man-smiling-260nw-625939112.jpg
35154062-arabian-man-profile.jpg
0x0.jpg
 
Unauhakika wale wamwanzo Africa walikua ni binadamu
Kwa mujibu wa science,ndio walikuwa binadamu

kwa mujibu wa Quran Mungu ka muumba binadamu wa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi..

Kwa mujibu wa uhalisia wa hili jambo,Afrika ndio continent lenye asili ya watu weusi..

Tafakari
 
Hakuna mwanadamu asiye wa Uzao wa Adamu na Hawa! Mwafrika alitoka kwa Hamu,mmoja wa watoto wa Nuhu.
 
Wale Adamu na Hewa ndio Hewa hawakuwa Wachina, Wazungu, Waarabu wala nini nani!! Shabash.
Fanya sayansi, fanya yote. AFRIKA ndipo alipo fanya kazi(Mungu)

...afadhali kama itakuwa hivyo, kuwa Waafrika hawakutokea kwenye watu waliomkufuru Mungu.
Mnahangaika sana na Afrika. poleni
 
Wale Adamu na Hewa ndio Hewa hawakuwa Wachina, Wazungu, Waarabu wala nini nani!! Shabash.
Fanya sayansi, fanya yote. AFRIKA ndipo alipo fanya kazi(Mungu)

...afadhali kama itakuwa hivyo, kuwa Waafrika hawakutokea kwenye watu waliomkufuru Mungu.
Mnahangaika sana na Afrika. poleni
Waafrika, waarabu, wachina walitokea wapi ?
 
Asili ya mtu mweusi ni kule misri na babu yao ni farao hilo halina ubishi na litabaki kuwa ukweli mtupu. Ndio maana mpaka leo watu weusi wako africa na wazungu wapo huko makwao!
 
Ukitaka ushahidi wa kweli kamwe usitake kubase kwenye vitabu vya dini pekee.

UKWELI WENYEWE.
hapo mwanzo Muumba wa kweli alifanya uumbaji wa mtu kupitia Nguvu zake, na ninaposema Nguvu zake namaanisha si yeye Muumba aliyeshuka kuumba bali Mjakazi wake ama Mwana wake, na Mwana kimaandiko anaweza kuwa malaika, Christo wa kwanza ama christo wa pili pia hata mtu ni mwana wake vile vile.

Sasa Muumba wa kwel hakuwa na haja ya kushuka dunian kuumba isipokuwa kuweka sheria kwa viumbe wake wa awali kufanya kazi yake kimtiririko kulingana na sheria za uumbaji,

Kiumbe wake wa kwanza kuumbwa ndiye aliyeshiriki kumuunda mtu kutoka ktk ardhi ama udongo na ndipo kikatokea kinyago cheusi na baadae Kinyago icho kuwekewa pumzi ya uhai(roho).

Sasa tofaut ya rangi inakuja vipi, inakuja pale baada ya wazawa wa watu(black people) waliposambaa dunian kipindi hiko kuna bara moja tu, wazawa ama wana wa Mungu waliokuwa washirika wa lucifa/shetan kujibadiri mionekano yao na kuwa kama watu na kuja kuzaa na kuoa wanawake weusi na ndipo baadae kikatokea kizaz cha laana cha watu weupe wakubwa na waliokuwa na mionekano tofaut,

Machotara hawa ndio walio introduce tabia za hovyo mauwaji, vita na ibada za kishetan(dini) pia ushoga na usagaj ulianzia huku, na hiki ndicho kipind kinaitwa CRASH OF TITANS(anguko la malaika/miungu).

Baada ya machafuko kuzidi watu weusi walimlilia Muumba na ndipo aliamuru wabadili tabia zao ili waokolewe pamoja na nuhu maana mafuriko yangekuja kuufuta uzao huo ambao haukuwa halali dunian.

Unatakiwa ujuwe pia Nuhu wa ukweli hakuwa mzungu wala mweupe bali alkuwa mweus na aliitwa kwa majina ya kimila za kiafrika ya kale.

Baadhi ya machotara pia waliokubali kubadiri tabia zao waliingia ktk safina wakiongozana na familia ya Nuhu, na hawa machotara ndio waliokuja kuendeleza uzao wao baada ya kupona mafuriko.

Wahindi, wachina, wajapan,waarabu, wazungu na jamii za wanadamu tofaut na mtu mweusi chimbuko lao ni uzao wa wanawake weusi na jamii za malaika wahasi walipoowana na kuleta mbegu chotara ya laana ya watu weupe.

Na uzao huo wa watu weusi ulijitenga na ilikuwa sheria kuishi mbali na wanadamu weupe, maana hawo watu weupe hawakuacha machafuko kwakuwa yalikuwa ni asili yao, japo walijitenga na kuanzisha falme zao mbalimbali kama hizo za Persian, greece, Roman, Turkish, na hizi falme zilikuwa zikigain power ili kuja kuivamia ardhi ya watu weusi na kujaribu kuwafuta dunian ili kutimiza agenda za ujio wao dunian,

mbinu za kuwafuta ilikuwa ni kuwauwa, kuleta uzao wao kuja kuzaa na watu weusi ili kitokee kizazi kipya cha machotara tofaut na mtu wa asili.

Na ndiomaana ktk historia utaona kuwa afrika imekuwa ikivamiwa kila mara, kuanzia kipindi cha babu zetu mafarao waliochafuliwa sifa kwa kuitwa wakatiri na wauwaji, kumbe si kweli hata huyo musa hakuwai kuishi nje ya afrika wala waisrael wahajawai kuwa utumwani misri maana watu weusi hawakuwa na tamaduni za kuwatesa weusu wenzao, itoshe kusema biblia zenu zimewaingiza mkenge.

Miaka ya kuanzia 1400 A.D ndipo walifanikiwa kuiteka Africa rasmi kiakili,kimwil na kiroho kwa kuivamia na kuharibu falme zote zilizokuwa na nguvu, na pia kuharibu maktaba ya nakala za biblia za kwel huko misri na ilipokuwa Jerusalem ya kwel yaan central afrika, waliteketeza nakala hizo na zingine kusepa nazo kwenda kubadiri na kutuletea matoleo ya biblia za uongo na ujio wa uislam pia ni agenda ile ile.

Mujuwe kuwa hakuna undugu na hautowai kuwepo baina ya mtu mweusi na mtu mweupe, uliza hata kwa babu zako ilikuwa sheria kali kwa yeyote anayejihusisha na hao watu weupe, maana ilikuwa haram na laana kujihusisha na wazawa wa miungu/mashetani, na hapa chuki hii ndio inaendelea hata leo kwa waafrika kuua albino maana hawana ile asili ya uafrika.

Vita baina ya mtu mweusi na mweupe haita kwisha mpka mwisho wa dunia haki itakapopatikana.

Hizi dini, elimu na sayansi za kileo ni matokeo ya wazawa weupe kutaka kuutawala ulimwengu hususan bara la afrika, na ndiomaana hawaishi kutwangana wao kwa wao wakigombea usuper power, maana wanajua siri ya dunia kuwa ukifanikiwa kuitawala afrika basi umeitawala dunia, ndiomaana USA anatumia nguvu zote kuzorotesha maendeleo ya afrika ili isijitegemee pia china,india na nchi zngne hutumia nguvu kubwa kusambaza ushawishi kwa afrika ili zikubalike na baadae zisambaze sharia zao waiteke afrika.

Elimu hii hutopata kwenye hayo magenge yenu ya ibada za kishetan mnakowaabudu Miungu ya wazungu na waarabu, ukristo na uislam ni copy ya Imani walizokuwa wakiabudu mababu zetu kabla ya ujio wa hawa mashetan na dini zao.
Angalau kidogo wewe umesema mkuu,lkn kuna wafia dini hawatokuelewa
 
Kulijibu swali lako ni lazima tuachane na masuala ya Imani na tutumie sayansi zaidi
Watu wote duniani ni nasaba Moja tu na tufauuti ya rangi kv mzumg,, Mwafrija nk. Vimetokana na mazingira. Kupitia evolution watu wa aina moja walioishi Kwa muda mrefu eneo Moja wali retain some traits na ku undergo some changes ili kukabiliana na mazingira. mfano, waafrika walidevelop colour nyeusi kukabiliana na jua kali nk..nk.
Kiimani hakuna maellezo thabiti kwanini wazungu wanatofautiana na waafrika
Hivi unajua kwamba Australia ilikuwa ni nchi iliyokuwa ikikaaliwa na weusi,zipo nyingi Denmark,Fiji,India na nyingi nyinginezo na kukaa huko sio wameanza juzi la hasha miaka hiyo ya zamani kabisa wamekuja kumalizwa na ubaguzi kuanzia enzi za utumwa mpaka ukoloni,hebu tafiti kuanzia hapo uendelee
 
Back
Top Bottom