Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Binadamu tumeumbwa na Mungu!!na ni sisi weusi.Watu wametengenezwa maabara Ndio hawa akina Elizabeth na Putin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa Bin Adam,kwani watu ni niniWalikua binadamu au watu mkuu? ova
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Kiumri wa Olduvai sio wa kwanza tena . tayari kuna fuvu jingine lililo gundulika Ethiopia lenye umri mkubwa kushinda la Olduvai.Binadamu wa kwanza anasadikika kutokea oldvai gorge
Ninchoamini kutoka ktk maandishi na uelewa wangu n hivi...Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Pia.Fuvu la binadamu wa kwanza kuishi duniani, linapatokana Olduvai Gorge. Hii ni kwa mujibu wa historia. Hivyo binadam wa kwanza labda alikuwa mtu mweusi tena Mtanzania.
AsanteMimi nilipoanza kujiuliza swali hili nilianza na wangapi walikua watoto wa Adam na Hawa? Je! Jina Hawa lilikua na maana ipi? Ukiangalia mukhtadha wa maswali yako lazima utarejea kwenye vitabu vya kiimani kulingana na dini uliyopo maana kote vitabu vimesimulia kila kitu ni wewe kusoma na kuelewa
Mfano: ukisoma kitabu cha Mwanzo ambacho kimeandikwa na Musa utapata kuona Adam na Hawa baada ya kutenda dhambi ya kufanya kinyume na maelekezo ya Mwenyezi-Mungu na kufukuzwa kwenye Bustani ya Eden walifanikiwa kupata watoto wengi na kati ya hao wanaosimuliwa kwa kuanzia ni wawili ambao ni Abeli na Kaini, baada ya Kaini kumuua nduguye basi Adam na Hawa walipata mtoto mwingine aitwaye Sethi na Sethi ndie aliendeleza uzao wa Adam pamoja na kwamba Adam na Hawa walikua na watoto wengine na ukisoma Bible inaeleza kwamba Adam alikua na watoto wapatao 80 wakati wa uhai wake, Sethi mwana wa Adamu ndie aliendeleza ukoo wa Adam mpaka kufika kwa Nuhu ambae alimpendeza Mungu na Nuhu akaendeleza mpaka kwa Abrahamu....
Maelezo ni mengi ukitaka kujua vizuri anzia kusoma kuhusu watoto wa Nuhu ambao ni Ham, Shem na Yafeti sasa soma kuhusu watoto wa Ham hapo utamkuta Kushi (Ethiopia) na Puti (Libya), hayo maeneo yameandikwa kwenye Bible jaribu kusoma utapata mwanga, kisha fuatilia kwa undani maana ya Cush (dark-skinned person of African descent) utapata mwanga zaidi
Tukumbuke pia ktk geography Kuna kitu kinaitwa PANGAEA, ukiangalia vizuri Ile Pangaea utaona n Kama African Continent ndio ika katikati, then kutokana na Mambo ya Continental drifts hiyo bustani ya Eden labda ilihama, ama bado iko Africa.Kwa mujibu wa ninavyoelewa
1.Ndio! Mtu mweusi ni uzao wa Adamu na hawa (Adamu na hawa ndio baba na mama wa wanadamu wote tuna itwa Bin-adam ikimaanisha kua tumetoka kwa Adamu)
2.Wakati dunia inaumbwa walikuepo adamu na hawa pekee bustanini edeni (inasemekana ni huko mashariki ya kati). Watu walitawanyika na kufika Afrika ni baada ya machafuko ya Lugha katika mnara wa babeli.
3.Uzao wa umtu mweusi ni kutoka nje ya Africa! Inasemekana katika wale watoto watatu wa mzee Noah kupitia kwa yule mdogo ndipo waafrika tulitokea kwake, yule mkubwa alizaa wazungu na yule wa kati alizaa wa asia.
4.Biologically haiwezekani!! May be ifanyike twisting ya DNA (Sina hakika na hili)
I stand to be corrected!!!
Soma table of nations majibu yote yapo humo. Naona swali linajirudia kila mara, tatizo na uvivu wa kusoma maandiko halafu inaibua hoja tukusomeeAwali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.
Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?
2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?
3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?
4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?
N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Table of nations ndio nini ?Soma table of nations majibu yote yapo humo. Naona swali linajirudia kila mara, tatizo na uvivu wa kusoma maandiko halafu inaibua hoja tukusomee
Table of nations ndio nini ?
Soma Mwanzo 10Table of nations ndio nini ?
Anhaa sawa.Soma Mwanzo 10
Mimi Naona habari za dini zimekuja baada ya binadamu kuwa na mambo mengi ambayo yako juu ya upeo wake na hivyo kushindwa kupata majibu sahihi ya mambo hayo, hasa Jambo kuu lililomfanya binadamu aanze kutafuta habari za Mungu ni kifo.Kama mtu mweusi sio uzao wa Adamu kwa nini anakufa?