Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

Mkusanyiko wa votabu kufanya biblia ilikua Karne ya 14
Lakini pia ukiangalia Bible haikutaja udongo ulikuwa wa rangi gani Mana tunaona udongo una rangi tofauti tofauti.

Kikubwa imeachwa kuwa tata ili tujue wote Ni wa baba na mama mmoja tukitokea kwa baba mmoja.
Hata kwenye Bible Ni maongezi machache unaweza kuona yakiongelea rangi, Mfano Mfalme sule akisifia weusi wa ngozi yake kwenye Moja ya vitabu vyake.
kama sikosei
 
Tukumbuke pia ktk geography Kuna kitu kinaitwa PANGAEA, ukiangalia vizuri Ile Pangaea utaona n Kama African Continent ndio ika katikati, then kutokana na Mambo ya Continental drifts hiyo bustani ya Eden labda ilihama, ama bado iko Africa.
Lakini pia tunaposema bustani sidhani Kama ni kijibustani kidogo, yawezeka kuwa n eneo kubwa zaidi kuliko biblia ilivozumgumza
Bustani ya Edeni sio sehemu Bali ni uwepo
 
Bila shaka huo ni mtazamo wako ila hakuna ukweli wowote.
Nadhani unafaham ama ushawahi kumskia malikia wa Sheba kutoka Ethiopia,
Malkia wa Sheba alizaa na Mfalme Suleman, mtoto aliitwa Meneliki wa Kwanza naye akamza Menelik II, Menelik II akamzaa Haile Sellasie
Swali je hao wote walikuwa watu weupe na ikumbukwe Suleman ni uzao wa Daudi generation ya Baba wa Iman Ibrahim.

Ungesema habar za Evolution kibiologia angalau ungekuwa unaelekea kweny fact japo hakuna empirical evidence.

Mkuu kwahio inawezekana hata ile izrael ikawa ya mchongo nikifatilia naona kama tumepigwa pale...yawezekana Ethiopia ndio ikawa asili ya izrael taifa ya yakobo.
 
Fuvu la binadamu wa kwanza kuishi duniani, linapatokana Olduvai Gorge. Hii ni kwa mujibu wa historia. Hivyo binadam wa kwanza labda alikuwa mtu mweusi tena Mtanzania.

Kwahio hilo fuvu ndio adam mwenyew au..
Hivi vitu mimi bado vinanichanganya wakuu
 
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.

Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu mweusi [ mwafrika ] na uwepo wake hapa duniani.

Maswali:
1. Je mtu mweusi[ Mwaafrika ] ni uzao wa Adamu na Hawa ?

2. Je Adamu na Hawa walikuwapo pekee duniani ? na Afrika kulikuwa hakuna watu?

3. Je uzao wa mtu mweusi ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika ? Na Kama ni kutoka nje ni kutoka kwa nani watu wa bara la Ulaya [wazungu], watu wa Mashariki ya Kati, watu wa Asia ya mbali au watu wa bara la Amerika?

4. Je inawezekana mtu mweupe kwa mweupe [ mfano mzungu kwa mzungu ] kuzaa mtu mweusi?

N.b: Matusi na lugha za kuudhi hazitakiwi , pia unaweza kuongeza maswali yako kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.
Mleta mada, mambo vipi? Kabla ya kuuliza hili swali lako ulishapata kwanza uthibitisho (Valid Evidence) kwamba Adam na Hawa walikua ni wa rangi gani?

Kama huo uthibitisho unao, uweke hapa alafu niendelee kulijibu swali lako.
 
Mleta mada, mambo vipi? Kabla ya kuuliza hili swali lako ulishapata kwanza uthibitisho (Valid Evidence) kwamba Adam na Hawa walikua ni wa rangi gani?

Kama huo uthibitisho unao, uweke hapa alafu niendelee kulijibu swali lako.
Kutokana na jamii ya watu wa mashariki ya kati .
 

Sasa huyo sethi alijamiiana na nani mpka akapata watoto?
Au walikulana ndugu kwa ndugu?
Na je hao watoto 80 wa adam alizaa na hawa pekeake au ilikuaje hapo ufafanuzi pls[emoji56] mi sielew haya mambo.
 
Sisi tunaita principle of recognition and sense of belonging towards one satisfaction. Logic ya fuvu la Olduvai kulihusisha na binadamu au mtu wa kwanza halina logic kwani isingekua io discovery je mada ya juu ya watu weusi ingekuaje?

Point ni nyepesi pasipo kutumia mfano wa Olduvai tusibitishe kuwa hatujatokana na Adam na eve na pia sisi ndio Baba wa races zingine ...MADA NA iWAKE🔥
 
Back
Top Bottom