salim85
Member
- Feb 11, 2018
- 88
- 144
Mtu mweusi si uzao wa Adam na Hawa, (kibiblia au kiimani zaidi ) ndo tunajua Adam na Hawa ni binadam wa kwanza kuumbwa na Mungu ila Mungu kabla ya kumuumba adam na hawa alishaumba mijitu ya rac mbali mbali ambao hawakuwa wakijua uwepo wa Mungu mijitu hiyo ilikuwa ya aina mbali mbali waarabu,wachina , Albion waafrica wahindi nk ambao hawakujua wala kutambua lolote kuhusu ukuu wa Mungu muweza wa yote
hivyo Mungu kumuumba adam ni pamoja kuja kuwafumbua hao mijitu juu uwepo wa Mungu muweza wa yote , na kuna mstari kwenye bible Kain alimuua nduguye na kwenda mbali kuanzisha family yake ,sasa unazani alikwenda kuanzisha familia na nani,ni kwamba kuna watu Mungu alishawaumba kabla ya Adam na Hawa