Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Daaah inasikitisha sana hii mkuu...Hawana maadili kabisa wao hawaoni aibu kumpiga makofi mtu mzima sawa na mzazi wake uku akijisifu atamuongezea dozi siku nyingine.
Io haipo sawa km kakuudh mwambie pale pale mm hii cpend akigudia unashusha nondo unajua kuna baadh ya watu wazima hutumia utu uzima wao kupelekesha watu sitosahau kuna jimama moja nililiheshimu ila nilichokipata adi leo nikikutana na mmama mtu mzima km sihitaj msaada wake namsalimia za saiz ila km nahitaj msaada wake namuamkiaShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu vijana watanzania;
Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe.
Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu kule Tabata mida kama ya saa moja na nusu jioni nikasema ngoja nipumzike kidogo katika kochi huku nikisubiri saa mbili ifike nitazame taarifa ya habari ya ITV, mara paaaap usingizi ukanipitia.
Nikiwa nimesinzia kwa mbaaaali ninasikia kama watu wanapiga kelele nje. Kutokana na wingi wa zile kelele sikuweza kabisa kuendelea kusinzia, nikasema ngoja nitoke nje nikaangalie kuna nini kinaendelea huko.
Daaah aisee, nilipofika nikakuta kijana wa nyumba ya jirani around 21 years anaporomosha matusi makubwa sana ya nguoni kwa baba mtu mzima umri kama 62 hivi. Huyo baba pia ni jirani tu hapa.
Nilijisikia aibu sana kwa kweli. Nikawa ninajiuliza kimoyomoyo, huyu mtoto anapata wapi ujasiri wa kutoa maneno mazito kama haya kwa huyu baba mtu mzima mwenye watoto 5 na wajukuu 2?
Kesho yake baada ya ule ugomvi kuisha nikajaribu kuwauliza baadhi ya watu niliowakuta katika ule mzozo wa jana yake wakawa wanasema kwamba yule baba mtu mzima huwa anamtaniaga sana yule dogo kwamba yeye atarefuka lini kama wenzake mbona kila siku anazidi kuwa mfupi tu kwenda chini (Tabia mbaya ya kuendekeza masiraha yaliyopitiliza na watoto wadogo)
Inaonekana kuwa kijana alikuwa amechoshwa kabisa na tabia ile ya miaka mingi sasa akaona ni bora amtukane matusi kama yote ili hasira za miaka yote hiyo ziishe.
Mimi nilichokifanya nilimuita yule dogo kisha nikaongea naye kirafiki sana kwa maana huwa wote tunashabikia chama la wana Man UTD.
Niliongea naye kama rafiki tu na kumwambia Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi.
Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie kisha yeye ajirekebishe. Je, huu ni ushauri sahihi wa kumpa kijana yule?
Wewe mwana JF ukikwazwa na mtu aliyekuzidi umri huwa unachukua hatua gani?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Very true...Ukiona kijana anamtukana mtu mzima bila uwoga jua tatzo lipo kwa mama mlezi,alikuwa hampi kalipio,onyo au viboko kwa makosa ya utovu wa nidhamu kwa watu waliomzidi umri.
Hakika mkuu kwa maana waswahili husemaga "Samaki mkunje angali mbichi"Ni ngumu kubadilika akiwa ukubwani.
Ndio mpaka kutukana watu wazima jamani?...Io haipo sawa km kakuudh mwambie pale pale mm hii cpend akigudia unashusha nondo
Ndio mkuu tena wapo wengi sana zama hizi...kuna baadh ya watu wazima hutumia utu uzima wao kupelekesha watu
Rais Magufuli ni Mzalendo wa kweli na mpaka sasa hana mpinzani.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu vijana watanzania;
Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe.
Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu kule Tabata mida kama ya saa moja na nusu jioni nikasema ngoja nipumzike kidogo katika kochi huku nikisubiri saa mbili ifike nitazame taarifa ya habari ya ITV, mara paaaap usingizi ukanipitia.
Nikiwa nimesinzia kwa mbaaaali ninasikia kama watu wanapiga kelele nje. Kutokana na wingi wa zile kelele sikuweza kabisa kuendelea kusinzia, nikasema ngoja nitoke nje nikaangalie kuna nini kinaendelea huko.
Daaah aisee, nilipofika nikakuta kijana wa nyumba ya jirani around 21 years anaporomosha matusi makubwa sana ya nguoni kwa baba mtu mzima umri kama 62 hivi. Huyo baba pia ni jirani tu hapa.
Nilijisikia aibu sana kwa kweli. Nikawa ninajiuliza kimoyomoyo, huyu mtoto anapata wapi ujasiri wa kutoa maneno mazito kama haya kwa huyu baba mtu mzima mwenye watoto 5 na wajukuu 2?
Kesho yake baada ya ule ugomvi kuisha nikajaribu kuwauliza baadhi ya watu niliowakuta katika ule mzozo wa jana yake wakawa wanasema kwamba yule baba mtu mzima huwa anamtaniaga sana yule dogo kwamba yeye atarefuka lini kama wenzake mbona kila siku anazidi kuwa mfupi tu kwenda chini (Tabia mbaya ya kuendekeza masiraha yaliyopitiliza na watoto wadogo)
Inaonekana kuwa kijana alikuwa amechoshwa kabisa na tabia ile ya miaka mingi sasa akaona ni bora amtukane matusi kama yote ili hasira za miaka yote hiyo ziishe.
Mimi nilichokifanya nilimuita yule dogo kisha nikaongea naye kirafiki sana kwa maana huwa wote tunashabikia chama la wana Man UTD.
Niliongea naye kama rafiki tu na kumwambia Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi.
Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie kisha yeye ajirekebishe. Je, huu ni ushauri sahihi wa kumpa kijana yule?
Wewe mwana JF ukikwazwa na mtu aliyekuzidi umri huwa unachukua hatua gani?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

[emoji38]kuna bibi juzi kamwambia jamaa yangu "unaniona fala ?"[emoji28] yule bibi ana maneno machafu sana ,siku nyingine kamtukana jamaa yangu mwingine "muone ulivo mweupe kama m*und* wa nyani"Kumkwepa sio suluhisho.
Bora angemfata kistaarabu na kumwambia jinsi utani wake unavyomkwaza.
Kuna wazee wengine wapuuzi sana aisee,
Tetesi za chanzo cha ugomvi nilikuwa nazo muda ule ule lakini yule kijana bado alikuwa na hasira sana na nisingeweza kukaa naye ili tuongee kirafiki juu ya usahihi wa tetesi zile na namna bora ya kumpa psychological counselling...yani ukasubiri hadi kesho yake ndio ukauliza kisa cha ugomvi?
Mkuu ni vile tu Rais Magufuli anatoa heshima kupita kila jimbo kusalimia Wananchi. Ila hata angekaa ofisini ushindi ni 98%.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu vijana watanzania;
Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe.
Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu kule Tabata mida kama ya saa moja na nusu jioni nikasema ngoja nipumzike kidogo katika kochi huku nikisubiri saa mbili ifike nitazame taarifa ya habari ya ITV, mara paaaap usingizi ukanipitia.
Nikiwa nimesinzia kwa mbaaaali ninasikia kama watu wanapiga kelele nje. Kutokana na wingi wa zile kelele sikuweza kabisa kuendelea kusinzia, nikasema ngoja nitoke nje nikaangalie kuna nini kinaendelea huko.
Daaah aisee, nilipofika nikakuta kijana wa nyumba ya jirani around 21 years anaporomosha matusi makubwa sana ya nguoni kwa baba mtu mzima umri kama 62 hivi. Huyo baba pia ni jirani tu hapa.
Nilijisikia aibu sana kwa kweli. Nikawa ninajiuliza kimoyomoyo, huyu mtoto anapata wapi ujasiri wa kutoa maneno mazito kama haya kwa huyu baba mtu mzima mwenye watoto 5 na wajukuu 2?
Kesho yake baada ya ule ugomvi kuisha nikajaribu kuwauliza baadhi ya watu niliowakuta katika ule mzozo wa jana yake wakawa wanasema kwamba yule baba mtu mzima huwa anamtaniaga sana yule dogo kwamba yeye atarefuka lini kama wenzake mbona kila siku anazidi kuwa mfupi tu kwenda chini (Tabia mbaya ya kuendekeza masiraha yaliyopitiliza na watoto wadogo)
Inaonekana kuwa kijana alikuwa amechoshwa kabisa na tabia ile ya miaka mingi sasa akaona ni bora amtukane matusi kama yote ili hasira za miaka yote hiyo ziishe.
Mimi nilichokifanya nilimuita yule dogo kisha nikaongea naye kirafiki sana kwa maana huwa wote tunashabikia chama la wana Man UTD.
Niliongea naye kama rafiki tu na kumwambia Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi.
Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie kisha yeye ajirekebishe. Je, huu ni ushauri sahihi wa kumpa kijana yule?
Wewe mwana JF ukikwazwa na mtu aliyekuzidi umri huwa unachukua hatua gani?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Magufuli ataitupeleka uchumi wa juu.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ccm haiwezi kuiba kura, Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania Pia usije ukamfananisha lowasa na huyo msaliti wa Nchi.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.