youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi.
Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo, inaweza kuwa na gharama, lakini mara nyingi inafanya kazi kwa ufanisi, kwa wakati, na bila visingizio.
Kwa upande mwingine, wapo baadhi ya wafanyakazi ambao:• Hawapokei simu.• Wanachelewa kufika kazini.• Wanawahi kuondoka.• Wanawaza mwisho wa mwezi kuliko matokeo ya kazi.• Ukishawafundisha kila kitu, wanaanza kuamini biashara haiwezi kwenda bila wao.
Sio kila mfanyakazi yuko hivyo, lakini ukikutana na aina hii, gharama yake kwa biashara inaweza kuwa kubwa kuliko unavyofikiria.
Ndiyo maana naamini biashara za leo zinahitaji mchanganyiko wa watu wenye mtazamo sahihi na matumizi ya AI ili kuongeza ufanisi.
📢 Natafuta Virtual Assistant
Mahitaji:
✅ Ana simu ya android 14+.
✅ Ana PC/Laptop.
✅ Ana intaneti ya uhakika.
✅ Anaishi Mwanza.
✅ Anaelewa kutumia teknolojia na AI.
✅ Yupo available muda mwingi.
✅ Ana home office yenye mazingira mazuri ya kazi.
✅ Anajituma, anawasiliana vizuri, na anawajibika.
Kama unaona unafaa au unamjua mtu anayefaa, wasiliana nami:
📞 +255 693 880 325
Biashara hukua kwa mifumo mizuri, teknolojia sahihi, na watu sahihi.