Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Wewe unawaza anguko mimi ajadili matokeo ni vitu viwili tofauti, hata hivyo anguko la NCCR halikutokana na matokeo review your history.
Walitoka kuwa na wabunge 19, tena wasomi nguli kabisa wanchii hii, na wote hawakurudishwa bungeni isipokuwa 1 tu unasema haikutokana na matokeo?
 
Walitoka kuwa na wabunge 19, tena wasomi nguli kabisa wanchii hii, na wote hawakurudishwa bungeni isipokuwa 1 tu unasema haikutokana na matokeo?
Hiyo haikuwa sababu ya kuanguka kwa NCCR bali chama kilipasuka makundi mawili ya Mrema na Marando, hiyo ndiyo source mengine matokeo.
 
Wewe lia tu. Lakini ujuwe kwenye mashindano kuna mshindi na mshindwa.
 
Kwa haya yanayotokea niwazi kwamba katiba mpya ya Warioba ndio imezikwa rasmi kichwa chini miguu juu.
 
Kituo gani hiki?
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo
 
Kawe:
Waliojiandikisha 412,180
Waliopiga kura 233,518
Kura Halali ni 231,186
Kura zilizoharibika 1653

Matokeo:
Ubunge:

UDP - 72
UMD-51
UPDP-44
TLP-67
SAU-53
NLP-43
NCCR-279
DEMOKRASIA MAKINI -39
DP-60
CUF-461
CHAUMA-426
CCK-1422
ACT-585
AFR-374
CHADEMA-32,524
CCM-194,833

Tupige hesabu vzur sasa..

Tukijumlisha hizo idadi ya kura za hao wabunge unapata jumla 231,333. Kwenye takwimu hii figure haipo

Tukichukua kura zilizoharibika tukijumlisha kura halali si tunatakiwa tupate jumla ya kura zote zilizopigwa mbona figure inakuja tofauti?

i.e

233,186 +1,653= 234,839
Hii figure pia haipo kwenye takwimu,au mie nakosea sehem ndugu zangu embu nisaidieni basi

Bado kura za alizopata raisi kwa kawe ni zaidi ya idadi ya waliopiga kura KAWE
 
Kituo gani ambacho registered voters ni 125k, halafu wapiga kura ni 437k. In fact mimi nilikuwa disspointed kuwa turn out ilikuwa ndogo sana chini ya 50% lakini kama kuna kituo ambacho turn out ilikuwa 350% tuambie tukifahamu.
 
Ni aibu kubwa kwa taifa
 
Magufuli Baba Laooo..
CCM chama Laoo....
Manina kafie mbali huko mbwa we.

wanyiramba wapuuz mnakuwa wengi sasa umeingia kwenye list ya kina mwigulu na kilita ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. we mbwane we [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…