Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo huo endelea na stress zako tu. Faru John nje akifuatana na Sugu!!Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Tulikuambia kuwa utakufa na stress na kama unaweza ingia barabarani au uende porini kama ulivyosema. Simba wanawasubiri.Jaji Mugasha alaaniwe Kwa kutoa hukumu ya mwongozo wa dhuluma kuwa MaDED watatenda haki Kwa vile wamekula kiapo. Wanaopindua nchi si nao wanakula viapo?
Tuliwaambia mwisho wenu wa kupiga kelele humu JF ni tarehe 27/10/2020. Asubuhi na mapema tumeanza na Faru John njeeee!!Usiombee hilo na wala usitamani litokee jambo kama hilo hata wewe hutokaa kwa amani.
Mtasema yote leo
Chadema ni waongo huku Kawe tumepiga kura vizuri tu. Kata ya Kawe Mdee tumeshamnyoosha.Hizi kura "Za Nyongeza" sio kote zimeshtukiwa. Na hata Kawe tuseme hicho alichokiona Mdee ni kituo kimoja, what about others?
Karatasi zilizobambwa ni "Genuine" kabisa, ndo kusema kua Tume walichapisha na karatasi za ziada wakawapa CCM.
Tumeingia gharama kubwa kuandaa haya maigizo. Ni heri tukawa hatuna Uchaguzi hizi hela zikaenda kwenye kazi zingine.
Tunachotaka ni maendeleo siyo kupinga kila kitu. Chadema mmeshindwa hata na CUF wana Mbunge tayari Mtwara VijijiniMagufuli alishasema apelekewe wabunge wa CCM ambao anaweza kuwadhibi kwakuwa amepata wa kuwadhibiti watakuwa wanaongea anachokitaka yeye badala ya kuisimamia serikali na kutetea wananchi. Kwa serikali ya hivo kwenda bungeni kuishangilia ni bora bunge lisiwepo kabisa
Tumeshamnyoosha tayari na Beberu lake Amsterdam.Tulimuonya lissu hakusikia. Hii kumtanguliza amsterdam na icc kwenye hii battle raia wengi watamchukulia kama wakala wa mkoloni so watapiga kura kwa hasira kuzikataa dalili za ukoloni anazokuja nazo lissu.
Hongereni watanzania kwa kumpa somo kibaraka wa beberu
Hakuna wapinzani makini Tanzania bali ni Vibaraka na Wasaliti. Eti wanatuletea beberu Amsterdam ili kututisha sasa tumeshawanyoosha.Hapa kinachoendelea ni ile ile dhambi ya kuwabagua wapinzani itaendelea kuwatafuna maana kilichokuwa kinawaunganisha wajione wamoja ni upinzani wameshuondoa upinzani sasa watagundua kumbe na wao siyo wamoja Kuna CCM asili na CCM mpya ni jambo la wakati tu dhambi ya ubaguzi haijawahi kuliacha taifa salama.
Mimi ni mpinzani, ila haya mengine tumeyataka wenyewe.
Ulipigwa vitani , unaingia tena vitani na adui yuleyule huku hujabadili jambo. CCM walishajiwekea mazingira haramu ya ushindi
Mkulu amesema anaetaka kukinukisha aambatane na mkewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani sasa si mko road mnakinukisha au?
Kijana si Unajiamini?? Ingia Mtaani Andamana.........Taratibu nakuona una hamia upande wa kusuguliwa.
Tumia ubongo mwana[emoji41]
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Mbona hata Chadema walishanilia anguko la NCCR-MAGEUZI mwaka 2000? NCCR ilikuwaga ndo chama kikuu cha upinzani, kuanguka kwao ndo kuliipaisha Chadema.Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Wewe unawaza anguko mimi ajadili matokeo ni vitu viwili tofauti, hata hivyo anguko la NCCR halikutokana na matokeo review your history.Mbona hata Chadema walishanilia anguko la NCCR-MAGEUZI mwaka 2000? NCCR ilikuwaga ndo chama kikuu cha upinzani, kuanguka kwao ndo kuliipaisha Chadema.
Mlijua nini kuwa kura zitaibiwa.Kwa taarifa yako wenye akili timamu tulijua