Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Magufuli Baba Laooo..
CCM chama Laoo....
Manina kafie mbali huko mbwa we.

sawa me ni mbwa wewe binadamu bogus na huwez hata kuficha huo ubogus wako , reasoning ya binadamu iko wapi ? elfu ishirini za ccm zitawatoa damu wazee tufanye kazi... he yote ni elfu ishirin ishirin mnazopewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]. samahan mkuu kama nimekukwaza ila daah you guys sold this country to the highest bidder...
 
Kelele za mbwa koko tu hizo...
 
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.

Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya...
😂😂😂 Huwaga hamkosi sababu za kujitungia
 
Haya mnayo yaona leo ni matokeo ya mtu mmoja Mbowe ya kumleta Lowasa Ukawa,hili lilikuwa bonge la kosa ambalo kwa mtu makini kabisa kwa kosa lile alitakiwa ajihudhuru, ila Mbowe anadunda, untouchable, ukimkosoa humu watu wanakushambulia.
images (23).jpeg

Nilikiwa mwanasiasa kindakindaki wa CHADEMA chuo kuanzia 2009,ila baada ya Lowasa kuingia nilikaa pembeni,nikabezwa,nikapondwa baada ya UKAWA kupata viti vyingi bungeni,ila baada ya wabunge kuanza kurudi CCM ,kuna watu niliwaambia 2020 hali itakuwa mbaya sana na leo tuna yaona.

CHADEMA mlivyo mleta Lowasa UKAWA na kujiamini kwamba mpo imara,kumbe mliacha nyumba yenu mliyokuwa mnaijenga kidogo kidogo kwenye mwamba na kwenda kujenga kwenye mchanga kisa tu kuna urahisi.Sasa angalieni leo mnayo yapata ni haki yenu hamjaibiwa hata kura moja.

CHADEMA mkitaka kusimama tena mnabidi muanze upya mfumue chama chote na mkijenge CHAMA kupitia vijana wenu na watu wenu mlio waandaa nyinyi na si kunyakua wanasiasa kutoka CCM na mnatakiwa kiwaamini watu wenu.
 
Why Not,

Wananchi ndio wameamua;

Ushahidi upo wazi, tofauti Kati ya kura kwa wagombea ni kubwa Sana.

CCM iliwekeza kwa muda mrefu na haya ndio matunda yake,

Huwezi toa mgombea Ulaya akaja kuchukua nchi kirahisi,

Watu walikua na hasira Sana na mgombea Urais wa Chadema walikuwa wanasubiri tu siku ya kura.

Tumeona matokeo yake.
 
Ni yeye Lissu,,kibaraka.
Tuliwaambia humu Chadema wakipata hata wabunge watano basi washukuru Mungu.
 
Misungwi Lissu apata asilimia 0.68 ya kura zilizopigwa.
Ni afadhali wangemsimamisha Prof. Jay kwenye urais
 
Upinzani have fought their battles, watusubiri mpaka tutakapo kuwa tayari.
 
Kwani mpaka sasa Robert Amsterdam anasemaje?
 
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.

Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.

Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.

Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.

Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.

Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.

Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Umenena vyema mwanzoni kasoro hapo kwenye kuligawa taifa! labda mgawanyike ninyi mnaokaa meza kuu. Sisi huku tunaombana chumvi, tunaombana mbegu (vuli hii!) tunaazimana majembe, tunazikana. Kifupi tunaharakati nyingi za kutuweka pamoja kuliko za kututenganisha. Kama hujawahi kuwa na shibe huwezi ijua njaa!
 
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.

Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.

Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.

Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.

Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.

Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.

Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Kumbe hata hujui limit ya wapiga kura kwenye kituo. Hakuna kituo chenye wapiga kura zaidi ya 500, wewe hao laki umewapata wapi?
 
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.

Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.

Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.

Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.

Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.

Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.

Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
U said it all
 
Kwani mpaka sasa Robert Amsterdam anasemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila siku nlikuwa nasema humu kwamba Lisu akishundwa Amsterdam atakuwa amechangia, maana watz linapokuja suala la utaifa wako vizuri sana
 
Back
Top Bottom