Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Umesahau walio-vote sio waliokuwa registrd tu, kuna tuliotumia passport, nida id, leseni ya udereva n.k wote hatukuwa registered,
Duh! Kwa akili kama hii basi tuna safari ndefu sana kama nchi. Mtu anapigaje kura kama hayupo registered??? Hivyo vutambulisho vingine vnatumika endapo mtu kapoteza ID ya kura. Naamin hakuna mtu mwenye akili timamu anayeshabikia ccm
 
Hakika ukiona mtu anasimama na kijivuna juu ya matokeo haya yafaa ajichunguzee, maana kinachofuata hapa ni kilio tu na wakutusemea akuna maana 89% ya hao viongozi watakuwa hawajachaguliwa na wananchi hii ni hatari sana aisee!
Ndio kinachonshangaza. CNN, BBC, Washington post na vyombo vote vya taarifa ya habari vya nchi za nje, haswa za ng'ambo zote zimeweka kinaga ubaga kama uchaguzi haukuwa wa haki na democrasia ya watanzania imefikia kikomoni kwa haya yaliotokea... lakini baadhi ha hao wana Tanzania wanashangilia kwa hili.... kwa kweli safari ni ndefu kwa watu kama hawa
 
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.

Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.

Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.

Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.

Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.

Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.

Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Usinipangie bwana kwani lazima tuyaishi mawazo yako we nani
 
Duh! Kwa akili kama hii basi tuna safari ndefu sana kama nchi. Mtu anapigaje kura kama hayupo registered??? Hivyo vutambulisho vingine vnatumika endapo mtu kapoteza ID ya kura. Naamin hakuna mtu mwenye akili timamu anayeshabikia ccm
Nyie ma. Genius nendeni mkaishi mars😂😂
 
CCM wanataka kufuta vyama vingi Nchi isalie na chama kimoja tu ipitishwe katiba awe Rais wa milele kama China
Usitie hofu mkuu hata kama mi natangulia kabla,huyu MTU hatoboi miaka sita ijayo.mark my word.
 
haya sasa wamepata majimbo yote na kata karibia zote sas tunatarajia Tanzania kam ulaya kam wanavyosema haya kazi kwenu...
 
Usiombee hilo na wala usitamani litokee jambo kama hilo hata wewe hutokaa kwa amani.
Uzuri wa hili jambo
Wafanyabiashara watahamia Zambia Uganda Kenya Malawi
Kodi zitapungua
Maisha yatakuwa magumu sana
Mauaji yataongezeka
Kesi zitakuwa nyingi
Mteuliwa hatamaliza miaka mitano
Watawala wataishi kwa hofu
Jeshi litafanya yake
**** Chama Kimoja hakuna Demokrasia

Ni swala la muda
Tz itageuka kuwa Zimbabwe kama sio Rwanda/Kenya au Uganda ya miaka ile
 
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.

Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.

Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.

Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.

Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.

Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda, matokeo ambayo yanakwenda kuunda bunge la chama kimoja.

Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi huu yanayokwenda kuligawa taifa.
Kero yangu hapa ni moja tu, watu kuita "eti kura feki" wakati wakati huwezi kuzitofautisha na original?
 
Why Not,

Wananchi ndio wameamua;

Ushahidi upo wazi, tofauti Kati ya kura kwa wagombea ni kubwa Sana.

CCM iliwekeza kwa muda mrefu na haya ndio matunda yake,

Huwezi toa mgombea Ulaya akaja kuchukua nchi kirahisi,

Watu walikua na hasira Sana na mgombea Urais wa Chadema walikuwa wanasubiri tu siku ya kura.

Tumeona matokeo yake.
Ni kweli tumeona CCM iliwekeza.
BF10009F-ECEF-4730-83F1-33EF055F8A85.jpeg
 
Jaji Mugasha alaaniwe Kwa kutoa hukumu ya mwongozo wa dhuluma kuwa MaDED watatenda haki Kwa vile wamekula kiapo. Wanaopindua nchi si nao wanakula viapo?
 
Back
Top Bottom